@itc__reyna Habari, nimewekeza ktk ufugaji nawezapata ushauri wako please ili nibaini ni wapi nakosea maana nahisi kuna vitu haviendi sawa.
Tunaweza kuwasiliana kwa njia ipi?
Hawa wahuni ni waongo na matapeli. Hitilafu ya umeme kuanzia saa 4:20 - 6:30 usiku wamesingiziwa bundi na ngedere. Kunguru wamenusurika. Wahuni waliwahi kusema umeme ukikatika kwenye SGR abiria huwezi kugundua. Matapeli wanaendesha mradi wa SGR kama mabasi ya ZAKARIA Express.