Bibi anaamua kuita sister yake mdogo akuje kuishi na nyinyi ndio amsaidie kufanya U-detective after ameanza kushuku nikama umeanza kugotea mboch salamu za chini. Wanaamua kuanza na reverse psychology, wana nunua condom alafu wana toa mbili wanaweka kwa mfuko yako..