Tukiwa na sherekea sikukuu yetu ya vijana tuoneshe nguvu yetu katika Taifa na jamii zetu kwa ujumla kwa kujituma kufanya kazi Mungu tusaidie kutimiza malengo yetu@TanzaniaInterfaithPartnership
#zuiaukatilikwawatoto#Buchosa
Ubakaji na uliwiti kwa watoto unaepukika kwa kupinga hivyo vitendo katika jamii zetu na kuwapa watoto haki zao ilikutimiza ndoto@TanzaniaInterfaithPartnership
#ZuiaUkatiliKwaWatoto#Buchosa
Usikae kimya unapoona ukatili kwa watoto ukitendeka katika jamii yako toa taarifa ili kumlinda. https://t.co/XFWZw49YQe kumsaidia kutoza.ndoto yake.@Tanzaniainterfaithpartnership
#ZuiaUkatiliKwaWatoto#Buchosa
Mtoto anayefanyiwa ukatili wa aina yoyote ile inasababisha hasara kubwa kwake yeye najamii kwa ujumla kwani watoto ndio tegemeo letu katika nguvu kazi ya kujenga Taifa na jamii zetu.@TanzaniaInterfaithPartnership
#Zuiaukatilikwawatoto#Buchosa
Nilikuwa na wasiwasi. sana kipindi sijapima afya yangu ndipo nikaamua kwenda kupima ili kuondoa wasiwasi na kwa sasa nimepima ninatambua afya yangu naomba wewe ambae ujapima ukapime wala ujachelewa tambua thamani yako kwa kujali afya yako.
#Rafikikapimehiv#Buchosa
Usikose kimya unapoona ukatili wa kijinsia.kwa watoto toa taarifa katika uongozi wa jamii yako kwa.kufanya hivyo.utakuwa umemusaidia mtoto kutimiza malengo yake
#Zuiaukatilikwawatoto#Rafikikapimehiv
Wote kwa pamoja tusifumbie macho swala la mimba za utotoni kwani linakatisha ndoto za watoto na watoto ndio. Taifa la kesho.@TanzaniaInterfaithPartnershi
#Zuiaukatilikwawatoto#Buchosa
Usimunyanyapae mwenza wako kwa sababu anamaambukizi ya vvu kwani kuna njia mubadala za kutumia na usipate maambukizo ya vvu kuwa na amani tu.
#Rafikikapimehiv#Zuiaukatilikwawatoto
Mama. Mjamzito anahaki ya kupima nakutambua afya yake kwa kufanya hivyo atakuwa anamkinga mtoto aliyomo tumboni mwake na kuwa mama bora.
#RafikiKapimeHIV#Buchosa