@JMariotz Ukiamua mpira wa Simba na Yanga ukuumize, utaumia tu.
Hata hizi ngoma Yanga huwa wanacheza. Kulinda afya yako, husichague angle ya kutetea hizi team mbili, kila team huwa ina wakati wake wa kucheza ngoma yake.
@George_Ambangil@Geoffrey87Lea Na hii mechi hatuangalii tukiwa na matumaini ya kushinda, bali kuona km wachezaji wanafundishika ama hawafundishiki...ππ