@zoetjesheeftX Iki kitu kitamuuma sana said ila tumepata funzo kubwa kupitia yeye maana yake mwanamke yeyote yule ukilala naye hakikisha unachapa fimbo zakutosha
Naona umeamua kujipendelea mwenyewe kwenye story yako ila umefeli kitu kidogo tu ujasema mama alikuambia NIN baada ya kufika tanga then achaga uwongo
By Jewish de arsenal
Siku moja niligombana sana na wife
(Mambo ya kuchelewa kurudi home)
Si unajua tena ujana.π
Mbaya zaidi wote tukashindwa
ku-compromise.
Basi asubuhi sana wife akadandia
Tashriff kibati mpaka Tanga.
Kumbe kaenda kwa mother bana
kunishtakiπ
Mi sikuwa najua, nimeamka na HangOver napapasa bed simuoni mwenzanguβ¦.
Ghafla βοΈ ngrrr ngrr kuchungulia Tambo mother anapiga.
Naminya cha kijani mother kwanza kaanza kunichamba vipi
(Wanawake wa Tanga tena).
Mother akanambia yuko na wife na kashaongea naye so nifike Tanga haraka sana atusuluhishe!!
Jioni nimewasha pira naenda Tangaβ¦..
ile nakunja kulia tu pale Segera naitafuta Hale, napokea text kutoka kwa Wife
π± Babe hufiki tu jamani!!
ππππππ
Nikacheka sana, kimoyomoyo nikasema
Bhaaaaass game over shosti kashatepeta.
Maza bonge la striker,kashashinda AWAY β hata HOME akitoa Draw ana points 4 sio mbaya!!
Nilichofanya baada ya kufika Tanga ni kumchukua tu mke wangu tukageuza zetu sisi haoβ¦waleee twarukaaa π Dar moko!!
Love is a beautiful thingβ€οΈ

Hapo Sio Jikoni
Hapo hapana janga la moto wala vurugu
Hapo sio kwamba kuna timu inasherehekea ubingwa
Ila hapo kuna wahuni wanakipiga River Plate vs Athletico Mineiro, sometimes huwezi kujua jukwaa lipi ni la mashabiki wa timu gani mpaka uone jezi walizovaa
Kuna muda mashabiki hua hawaoni magoli yakifungwa sababu ya moshi ila huo ndio utamaduni wao
Ukiwa na roho nyepesi usisogee hapo π