CHUMA KIMETUA
Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha usajili kiungo Kwa Duncan "Monster" Nyoni (@duncannyoni) kutoka Silver Strikers FC ya Malawi.
#simbanguvumoja💪
#simbasctanzania https://t.co/X3nvYXzkMm
Halafu dogo ni anaonekana anadharau kinyama..!!
Yaani huyu uwanjani akiwa na mpira kwanza anakupandisha anakushusha anakunyali halaf anakupiga tobo afu yulee anaenda zake😂😂😂
@docpeterbanda@simbasctanzania https://t.co/qKdycVnaYM
Kesho hiyoo, hapo ndo tushachomoa zile nne zao katika harakat za kutafuta chuma cha tano wakatukosa kosa unaambiwa..!!!😀😀😀
Yaani kesho hapa ndo ukiskia KUFA AU KUPONA ndo hii sasa. https://t.co/Q9lXB4rw2O