We publish everything related to food security and clean cooking. Currently, we are publishing online in Swahili 🫕🥘 We are part of @NuktaAfrica
0750 881 888
📢 Exciting Opportunity!
Nukta Africa is seeking skilled developers and tech firms to design and develop a cutting-edge e-commerce website and mobile app for JikoSokoni to promoting clean cooking energy in Tanzania.
🔗 For more information >>> https://t.co/suqtiaemRd
Rais Samia Suluhu amesema Serikali yake inajipanga kujenga viwanda vikubwa vya sukari jijini Tanga ili kukabiliana na uhaba wa bidhaa hiyo nchini.
Rais Samia ameyasema hayo leo Februari 26, 2025 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Pangani jijini humo.
Microwave yako ni chafu na hujui jinsi ya kuisafisha?
Usijali tembelea chaneli yetu ya Youtube ujifunze jinsi ya kuisafisha kwa njia rahisi.
au bonyeza link hapo chini kutazama.
https://t.co/CCuAAVtGnZ
Wadau wa maendeleo katika nchi za Afrika wakiwemo Benki ya Dunia (WB)na Benki ya Afrika ya Maendeleo (AFDB) wameahidi zaidi ya trilioni 166 zitakazowezesha upatikanaji wa umeme kwa Waafrika milioni 300 wanaokosa nishati hiyo.
Waziri Mkuu wa Tanzania @KassimMajaliwa_ amewataka Watanzania kuacha matumizi ya kuni na mkaa ambayo yanachangia uharibifu wa mazingira na badala yake wahamie kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Fahamu vyakula vinavyoshauriwa kwa wagonjwa wa presha
Daktari Henry Mwandolela, kutoka Hospitali ya Haemeda jijini Dar es Salaam, amesema wagonjwa wa presha wanapaswa kuchagua vyakula sahihi vya kutumia ili kujikinga na hatari za kiafya.
Soma zaidi:https://t.co/ankkuATQBw
Matumizi ya vifaa vya teknolojia yamerahisha shughuli za mapishi ikiwemo kukaanga karanga.
sasa hivi unaweza kukaanga karanga kwa kutumia microwave, air fryer, jiko la gesi na oven.
Kujifunza jinsi ya kukaanga karanga kwa kutumia nishati hizo tembelea https://t.co/ltsQpywDiG
Chai ya limao imethibitishwa na wataalam wa afya kuwa ina mchango mkubwa katika kupunguza kitambi.
Dk George Munisi, mtaalamu wa masuala ya lishe, anasema chai ya limao au ndimu ina umuhimu mkubwa kwenye kwenye kupunguza kitambi.
Soma zaidi: https://t.co/jjoY25Z8Qo
#lemontea
Je wewe ni mpenzi wa Ice cream?
Jifunze jinsi ya kuandaa ice cream nyumbani ukiwa na mahitaji matatu ambayo ni ndizi mbivu, vanila na maziwa fresha.
Tazama hapa jinsi ya kutengeneza: https://t.co/pWEXgDRn8B
Kuchagua jiko bora kwa ajili ya mapishi ni miongoni mwa kibarua wanachokutana nacho wapishi wengi.
Jiko Point imekuandalia orodha ya aina za majiko ya kisasa yanayotumia nishati safi, faida na matumizi yake
https://t.co/10zu5eGyUN
We have been telling success stories of many local and international individuals and organisations.
Today, @TeddyMcha, the Executive Director of @AmshaamshaF is telling our story on how Nukta Africa improved their communication activities. 😍
https://t.co/1Vo4IQQHwo
Ratiba yako ya msosi ya Januari imekaaje? bado ni tonge nyama au kabichi inakuhusu?
Ikiwa bajeti imebana sana mwezi huu usijali tembelea https://t.co/ltsQpywDiG kupata recipe za mapishi rahisi yasiyotoboa mfuko wako.
#Njootupikepamoja