SZRH JOGGING CLUB Ikiwa Mitaani na Wanamtwara Wakifanya Mazoezi Pamoja ili kuendelea kujenga Afya Bora Ya Mwili na Akili Lakini pia Kujenga Undugu na Urafiki na Jamii Yetu Tunayoihudumia
#Promote Community Healthier
#Szrh Jogging Club
#Be Physically active Move your Body.
Hospitali Ya Rufaa Kanda Ya Kusini Mtwara kesho inaadhimisha miaka Mitano Ya utoaji Wa Huduma Kwa Bonanza la michezo Mbalimbali likifunguliwa kwa Jogging Ya pamoja na Wanamtwara.
Hii ni kurudisha pongezi kwa Jamii Kubwa ya Mtwara ambayo ndio Wenye Hospital.
Historia imeonyesha mara nyingi kwamba hatari kubwa kwa taasisi yoyote haitokani na wakosoaji wa wazi, bali kwa wale wanaovaa vazi la uaminifu huku kwa siri wakipinga misingi yake.
Jumamosi Ya Watumishi Wa Hospitali Ya Rufaa Kanda Ya Kusini Mtwara Kufanya Mazoezi na Wanamtwara ili Kuendelea Kuhamasisha Wananchi kufanya Mazoezi ili kujenga Afya Bora Ya Mwili na Akili na Kuimarisha Undugu kati ya Hospitali na Wananchi
#Stay Active Move your Body
SZRH JOGGING CLUB — TODAY’S SESSION! 🔥🏃🏿♀️
Another amazing Saturday morning spent with the Mtwara Community through jogging, fitness, friendship, and togetherness. 🤝🏿❤️
#Fanya Mazoezi Kujikinga na Magonjwa Yasiyoambukizwa and Kuimarisha Afya Ya Akili na Mwili.
Kesho ni Jumamosi Ya Watumishi Wa Hospitali Ya Rufaa Kanda Ya Kusini Mtwara Kufanya Mazoezi na Wanamtwara ili Kuendelea Kuhamasisha Wananchi kufanya Mazoezi ili kujenga Afya Bora Ya Mwili na Afya Ya Akili.
Ni kuendelea kujikinga na Magonjwa Yasiyoambukizwa.
@MkulimaKante Hali sio Nzuri Vijana wadg wanaondoka sana na Changamoto hizi,
Kijana boda ana matumizi ya energy drinks kupitiliza (5-8) per day. Energy drinks Zina caffeine inabana mishipa ya damu-presha inapanda, Hana Taarifa na hapati matibabu mapema-Figo imefeli-Hospital
@MkulimaKante Kwa Tafiti za hivi Karibuni High Blood pressure na ugonjwa wa Kisukari ndo visababushi vikuu Tanzania, ikifatiwa na Vyanzo vingine kama madhara ya kutotibiwa ugonjwa wa malaria Kali, na Sababu Zingine Nyingi.
Key Note Pima Pressure,Uzito wako, Uzito sahihi..
Wimbo mpya wa Kwaya yetu pendwa @SeciliaMakuburi uitwao #UNANIJUA, sasa umetoka na unapatikana YouTube. Fuata LINK kwenye BIO yangu IG @danchibodc 🔥
“Mimi na Nyumba Yangu, Nitamtumikia Bwana.”🙏🏽✝️
@SimbaSCTanzania Nice Win but We need free kick coach immediately if we are real Serious, Simba Players and technical bench You have to be very aggressive to use chances effectively, Doumbia is not pressing and not running why?
Libase Gueye Has to link up well with right back
What's something you wish you knew when you were first diagnosed with diabetes? Your insight could make a difference for someone who is just beginning their own journey!
Tell us your story and help others feel supported at https://t.co/51nvKR8I13.
#WeFight
Ni Kesho Jumamosi Ya kufanya Mazoezi na Klub Yetu Ya SZRH JOGGING CLUB Lengo kuhamasisha Kuwa na Jamii Yenye Afya Bora Ya Mwili na akili.
Wizara Ya Afya wanasema Watanzania watu wazima asilimia (30-35)Wana Shinikizo la juu la Damu.@wizara_afyatz
Ni Leo Tena Timu Ya Mazoezi Ya Hospitali Ya Rufaa Kanda Ya Kusini Mtwara ilijumuika na Wanamtwara Kufanya Mazoezi Pamoja ili kujenga Afya Bora Ya Mwili na akili na kuwa Karibu na Wananchi Tunaowahudumia.#Physical Fitness a Pathway to Your Wellness Beyond Medications.
Watumishi Wa Hospitali Ya Rufaa Kanda Ya Kusini Mtwara Leo wameshiriki kufanya Mazoezi na Jamii Ya Mtwara katika Kuimarisha Afya na kujikinga na Magonjwa yasiyo ya kuambukiza Ambayo Yanachangia Asilimia Kubwa Ya vifo kwa Sasa.
Dayalisisi (Figo)
Chemo & Mionzi (Kansa)
Gharama kubwa za haya matibabu, imesababisha kuchukua uhai wa ndugu zetu wengi mno!!
Bado wapo wengine wengi wapo vitandani sasa wanaugulia.
Bado wapo wengine wanatembea wakiamini ni wazima, lakini bila kujua tayari wanayo haya maradhi.
Siku zinavyozidi kwenda, ongezeko la waathirika wa maradhi haya linakuwa kwa kasi kubwa mno!!
Huku vifo vingi vikitokea kwa sababu ya kushindwa kumudu gharama, na kutofika vituo vya afya mapema na kwa wakati sahihi!!
Tutaendelea kupoteza kundi kubwa sana la wapendwa wetu💔
kama hazitafanyika jitihada kubwa kupunguza gharama za matibabu na kuongeza elimu (Awareness) kuhusu afya zetu (Lifestyle), Checkup mara kwa mara!!
CONGRATULATIONS🎉
Prof. Bruno F. Sunguya on being awarded the National Best Health Scientist Award by the National Institute for Medical Research (NIMR) at the 33rd Annual Joint Scientific Conference, in recognition of his outstanding scientific excellence and significant contributions to health research in Tanzania.
The recognition highlights his continued commitment to advancing research, innovation, and evidence-based healthcare, which has positively impacted public health outcomes.
MUHAS celebrates him for this achievement and commended his dedication to scientific advancement and academic excellence.