@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM#MaishaNiFumbo
Aonacho mzazi akiwa ameketi, huwezi kuona hata ukiwa kwa mlima juu
Unaloshauriwa na mzazi usilidharau, liweke moyoni
Kikulacho kimo nguoni mwako
Adui wako ni rafiki yako tena wa karibu
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM#MaishaNiFumbo
Hasira hasara
Sahani inayokulisha usiivunje
Kabla ya kufanya jambo chunguza kwanza au uliza
Matamshi ya ulimi ni moto, yatakuchoma wewe mwenyewe
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM#Tafrija
Rhuuuuuuuuuuumba, wangu wa kwanza alikua kwa kijiji aliitwa Ebby, huyu alinisaidia kuvuna maindi nyumbani na mambo yakaanza, alinifanya nikavunja kijana mkono akimnyemelea π
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM#MaishaNiFumbo
Haraka haraka haina baraka
Usichigambe na ujuzi ulionawo, Mola ndie alikupa na anaweza kumpa mwingine
Kwa kila jambo ufanyalo, fanya kwa makini bila haraka
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM#MaishaNiFumbo
Mtoto ni mtoto, awe kiwete ama nini, ni baraka kutoka kwa Mola
Ulichopewa na Mungu kipokee jinzi kilivyo, kuna uzuri ndani yake
Hicho ulichokataa kitakufaa baadae, usikitupe
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM#madayasiku
Kwenye ndoa kunastahili kua na mambo haya :
1. Upendo, mwanaume atoe upendo
2. Unyenyekevu na heshima, hiyo ni ya mwanamke
3. Msamaha, wote wajue kusamehana
4. Kusaidiana kimawazo
Haya yote siku hizi hakuna