@IAMartin_@frajo_ And there she is.... Kama tutapima ubora wa vocals zuchu atapigwa. Kama tutatumia kigezo cha numbers (And offcourse kwa mziki wa kidunia) hicho ndicho kipimo kikubwa. Hakuna kizuri kisichopendwa, usanii ni pa1 na kucreate vtu watu wako watapenda, sasa kama vtu vyako havipendwi?
@IAMartin_@Wakazi Numbers zinamatter sana. Ni kama kwenye utaratibu wa kawaida tukitaka kumchagua kiongozi wa nchi, tunahesabu numbers za kura, aliyepata nyingi means anapendwa na wengi na ndio anakuwa the best. Ukali wako tutaupima kwa nini kama huna watu wanaokusikiliza?
Licha ya kuingiza kwenye vituo kura zilizokwishapigwa zipatazo 15,850 ( kura 50 kila Kituo cha kupigia kura ) nimemshinda Mgombea wa CCM kwa kura 5218. Hata hivyo Mgombea wa CCM katangazwa mshindi kwa tofauti ya kura 7000. Tunafungua ukurasa Mpya wa mapambano ya demokrasia nchini
"You will not hear Yoweri Kaguta Museveni, Salvar Kiir, Uhuru Kenyatta, Paul Kagame or others calling John Pombe Magufuli calling for transparency because they do the same very things in their countries," ~ Mr. Evans Ogada #TanzaniaElectionsWatch
Tanzania in full blown one party dictatorship. We shall resist this. I urge Tanzanians not recognize any authority coming out of these widespread rigging. I ask the international community NOT to recognize this Tanzanian election. Consequences for this must be huge! RESISTANCE
Users are reporting that when they send SMS with the word Tundu Lissu messages are not sent. These are unverified reports from Vodacom and Airtel users
Kila mtu mwenye laini ya Vodacom na Airtel ahakiki hii taarifa, tujue kama kila mtumiaji anapata tatizo hili
#ChangeTanzania
Inaweza ukawa una nguvu ya kufanya jambo fulani lakini haimaanisha utumie nguvu uliyonao kulifanya. Ndio maana tuombe Mungu tutanguliwe zaidi na busara na hekima katika maamuzi kukwepa kuumiza watu bila sababu za msingi.
Ijumaa Kareem!!