Kwanza nianze kwa kutoa shukrani kwa MUNGU kwa kuiona siku ya 27.6.2025. Hii ni siku ambayo nilizaliwa upya tena chini ya jua.
Baada ya kupigwa RISASI YA KICHWA na kuachwa kama maiti niwe chakula cha MAMBA NA VIBOKO pembezoni mwa mto huko MBUGA YA KATAVI lakini vyote havikuweza kuniua.
Yote haya Yalifanywa na JESHI LA POLISI LA TANZANIA @tanpol kwa maagizo ya ZCO FAUSTINE JACKSON MAFWELE. Kosa langu ni kuwa mkosoaji wa SERIKALI.
Kusherekea Ushindi ule wa kuzaliwa UPYA JANA niliamua kutoa SADAKA kwenye moja ya kituo cha Watoto yatima kilichopo hapa DAR. Vifuatavyo ndio nilijaliwa kupeleka.
1. MCHELE : 200KG
2. UNGA sembe: 100KG
3. MAHARAGE : 50KG
4: MAFUTA YA KUPIKIA : 20LT
5. BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WATANO.
6. NILIKUTA DENI LA DAWASCO (BILI YA MAJI) LILIPWA LOTE.
Haya yote nimefanya kama SADAKA ya kumshukuru MUNGU kuniwezesha kuponea kwenye nia mbaya ambayo JESHI LA POLISI NA MAFWELE walikuwa nayo dhidi yangu lakini MUNGU AKANISHINDIA.
Nilipata wasaa wa kuongea na wasimamizi wa kituo, waliniambia kuna changamoto zingine wanazipitia. Kwahiyo kama utapata chochote unaweza kuwatembelea na kuwasaidia.
ASANTE KWA TEAM NZIMA YA SATIVA17 kufanikisha hili.
Special Thanks kwa @Thereal_taivina & @prolific_88 ambao walichukua JUKUMU la kuniwakilisha na kuhakikisha kila kitu kinaenda poa.
NAFAKA ZOTE TULIMUUMGISHA MWANA X MWENZETU AMBAE ANAPOST BIASHARA YAKE HAPA X @kalage_jr , kama unahitaji mahitaji ya MCHELE, unga, maharage unaweza kumcheki. Thanks kwa muda wako BRO.
All in all thanks kwa wishes zenu wanangu wote, nilijaribu kujibu zote ila nilioshindwa kuwafikia niseme ASANTE.🙏🏿🫵🏾
SATIVA17
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Huu Mkeka Ukichana NIKAMATWE
Odds 04 za Moto sana
Kama unataka kucheza nami REPOST hafu katazame DM kwako Code utaikuta nishakuwekea kwa speed ya ngiri
THE GORGE (The Movie Explained)
Kama ww ni mpenzi sana wa movies za action, bila shaka tayari utakuwa umeiona hii movie. Ni story iliyoandikwa na Zach Dean, na huyu jamaa ndo aliandika pia story ya Deadfall (2012) na The Tomorrow War (2021) ile ya Chris Pratt
🔴⚪️ Julián Álvarez: “It hurts to be out after giving our best until the end. We’ve still showed our values as a team”.
“Thanks to our fans for making every game special”.
“Congratulations to Real Madrid”. 🤝