@VodacomTanzania Masaa 2 itakua inafanya kazi lakini hadi naandika hapa hakuna kitu still lain mpya nayo inaandika emergency call na siwez kuaccess internet
@VodacomTanzania Tulinunua router mpya tulivyoweka laini ya voda yenye bando la 120,000 iliandika emergency call only hatukuweza kua access internet
Nilipiga huduma kwa wateja nikaambiwa niiswap
Tarehe 9 mwez huu nilifika mlimani city ofisi za voda nikafanikiwa kuiswap na niliambiwa baada ya
Vote for Savatir in the Zikomo Africa And Caribbean Awards for Author Of The Year. Voting is free after you open a free account, and you can vote once a day. Here's the link: https://t.co/vStvsYvz1C
@Jambotv_ WIZI UNAFANYIKAJE?
Ngoja nitoe elimu hapa, Kuna kitu kwenye mifumo kinaitwa Query una run Query na kui command ikuvutie taarifa flani flani muhimu then unaweza kuzi untegrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC 2 Database inayotunza taarifa za UKIMWI mtanielewa naendeleaaaaa
@Adventure_36 Nina samsung s10 5g ya korea nilinunua kwa jamaa mmoja anaitwa @dubaigadgets pale instagram since 2021 mwezi February hadi leo haijwahi nisumbua chochote, watoto washaangusha sana inapasuka protecter tu
@frediejustine Nafikiri kun haja ya kuanzisha chama kipya kwa ajili ya vijana wenye kuhitaji uhuru na mawazo mapya maana sasa inaonekana chadema ni cha watu fulani tu, chama kipya Mwenyekiti awe TAL