Maonesho haya (ya Nanenane) ni jukwaa kubwa la usambazaji wa taarifa za kibiashara na mbinu za masoko. Imani yangu ni kwamba, kila wakulima wanaposhiriki maonesho haya wanapiga hatua za kiuzalishaji" Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia
Rais Samia Suluhu Hassan amegawa vishkwambi 3,500 kati ya 7,000 kwa ajili ya kuwasaidia maafisa ugani nchini kutoa huduma za ugani kwa wakulima katika viwanja vya Nane Nane mkoani Mbeya.
MKATABA UNAIRUHUSU TANZANIA KUTAIFISHA MRADI
Ibara ya 14 inatoa fursa wakati wowote Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaifisha mradi, Jerry Silaa Mbunge wa Ukonga.
#tanzania#bandari
"Wanaosema bandari inauzwa, waonyeshe watu mahali panaposema mauziano, kwa sababu hata ibara ya 12 (1) inaongelea mambo ya ulinzi katika mkataba huu wa uwekezaji wa bandari na wala sio kuuziana kama watu wanavyojaribu kusemaโ - Jerry Silaa Mbunge Ukonga.
#tanzania#PoliticsLive
"Wanaosema bandari inauzwa, waonyeshe watu mahali panaposema mauziano, kwa sababu hata ibara ya 12 (1) inaongelea mambo ya ulinzi katika mkataba huu wa uwekezaji wa bandari na wala sio kuuziana kama watu wanavyojaribu kusemaโ - Jerry Silaa Mbunge Ukonga.
#tanzania#PoliticsLive
โMajadiliano yote yanayotokea wakati huu yana umuhimu wake na hii ni kazi nzuri ya Rais Samia. Tumpongeze kwa hilo kwa sababu kipindi cha nyuma ulikuwa huwezi kusema kwa uwazi.โ Jerry Silaa Mbunge Ukonga.
#tanzania#PoliticsLive
Jambo hili kisheria halina tatizo lolote, ila huko nje kuna mtu anaweza kuamua tu kusema bila kufuata sheria na utaratibu ili azue taharuki. Hataki kujua umuhimu wa kusikiliza wengine kiasi cha kuingilia mamlaka ya habari,โ Jerry Silaa Mbunge Ukonga.
#politics#Tanzania
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Feleshi amesema utafiti uliofanyika kusini mwa Tanzania, umebaini baadhi ya watuhumiwa ambao makosa yao yanadhaminika wanafurahia kuendelea kubaki mahabusu. Hii inatokana na hali ya kiuchumi inayofanya waone mahabusu ni nafuu zaidi kuliko uraiani
"Makubaliano Yaliyoingiwa Sasa Yanalenga Kuweka Msingi Wa Ushirikiano Baina Ya Serikali Yetu Ya Tanzania Na Serikali Ya Dubai, Maeneo Ya Uwekezaji Yatakayopendezwa Ndio Yatakayoingia Mikataba Kwa Kila Eneo Na Hivyo Maswala Ya Mfumo Wa Uwekezaji Kwakutumia Sheria Za Nchizi..
#JiraniUpdates: Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Akihutubia Kwenye Kilele Cha Maadhimisho Ya Kupiga Vita Dawa Za Kulevya Yanayofanyika Kitaifa Jijini Arusha.
Picha Na #Wasafifm#JiraniUpdates
#JiraniUpdates: Rais Samia Suluhu Hassan Akipokea Tuzo Ya Kutambua Mchango Wake Kwenye Mapambano Dhidi Ya Vita Ya Dawa Za Kulevya ๐น๐ฟ Kutoka Kwa Wazri Mkuu, Kassim Majali.
#JiraniUpdates
#JiraniUpdates: Mkurugenzi Wa Sheria Wizara Ya Uchukizi Mohamed Salum Amesema DP WORLD Hatapewa Umiliki Wa Ardhi Kama Baadhi Ya Watu Wanavyodai Bali Atakodishiwa Kisheria
Source: #itvtanzania#JiraniUpdates
#JiraniUpdates: Mfanya Biashara na Muwekezaji Nchini Tanzania Rostam Aziz alipokuwa akizungumza na Vyombo vya habari Kwenye Mjadala wa Kitaifa wa Bandari.