@RastaZizi254 Ni maneno magumu lkn ndio ukweli tena linalimwa nakuwekwa mbolea na mbegu za ruzuku moja kwa Moja😂😂 Tena ukute ruzuku alinunua kwa 3k 5k au 10k duu
@chapanombombwi Sio poa lakin hawawez kutazama ili mfano
1.Heka moja kulima 60k adi 80k based on location
2.mbegu mifuko 4_5 X16k adi 20k
3.palizi 30k adi 50k
4.mbolea maximum at least mifuko 3 Kuna 51kSA,, 64k na, 72k
5. Dawa wadudu
6.wafanya kazi kupanda ,kuvuna
7.kupiga kusafisha 😂🙌🙌
@chapanombombwi@chapanombombwi chaka kunachosha mkuu unakomaa at the end unakuja kuuza mahind kg 1 kwa shilling 300 au 400 unatarajia lini huyu mkulima atakuja kupata matunda ya jasho lake??
@chapanombombwi Kibaya zaidi Wanao teseka kulima hawapati faida anae kuja kupata faida vigogo duu nilitegemea mkulima wa zao la mahindi atajirike Sana lkn hela akipata inarudi yote shamban duu😭😭 kwann kusiwe na bei nzuri mfano kg ifike japo 800 au 1000 at least mkulima apate chochote