@Sativa255 Kama kulizungumzia ni shida, basi tume haina maana kuwepo, yanini sasa kama hamtaki Oct29 isizungumziwe.
ITS A HUMAN RIGHT, wacha watu wazungumze,wacha wanaharakati wawaulize maswali. It's our country Meeen..!
@ze_dokta@tanpol Umekumbuka eeh๐๐๐
Tz ngumu sana yani usiseme ukwelii
Sasa ni wanawajua na wapo ila RCO kawaruka walifanya kazi kizembe wakafahamika๐๐๐
Shame on them๐ฎ๐ฎ