@MkulimaKante architecture yeye anaandaa michoro, lakini civil engineer, kwanza anakagua kama mchoro iliyochorwa inawezekana kutekelezeka na kama inawezekana, anajenga.
@Dgastonytz1 1. Kuuza Matunda (hasahasa matikitiki)
2. Kuchoma mahindi
3. Kuuza maji baridi, juice, soda kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu
Nyingine wadau wataongezea