π£ Usiku wa deni huu, ..zile kazi chafu za Dr. Aucho zinapofanyiwa kazi na miguu ya Mzize na Musonda chini ya Uangalizi wa Ki, Wananchi tabasamu ni lote. π
π£Huwezi shinda battle na Akaminko Bajana akarelax, aaf mbele Kuna Dube na Sopu. Azam FC mnayo majibu ya hili Pepa. π―
π Dr. Khalid kwenye njia za mpira kesho, Walid Mzize na Kenny Musonda katika nafasi kubwa kuiamua mechi, pembeni Yao af Kuna zile kombora za Ki π
πKazi chafu za Bajana na Akaminko inatua kwenye miguu yenye maelekezo ya Faila Sufi, halafu Kuna finishing za Sopu na Dube π