@HKigwangalla Lingine lipo brother @HKigwangalla utueleze kwanini uliamua kupandisha wasanii kwenye mlima kilimanjaro badala ya wanafunzi???...Yaani wanasafirishwa kwa ndege,alafu wanakula kodi zetu wakati wanafunzi wanakaa chini??..kwanini yaani kwanini kwa mfano?..
@Roma_Mkatoliki Sasa brother si urudi home basi uachie zile single zako...Kheri James tayari kaomba msamaha na wengine wanafuata...yaani huku kwetu tuna enjoy na mama yetu @SuluhuSamia..Kama hujui mida si mrefu tunaanza kupiga selfie pale Magogoni
@SuluhuSamia Sema mama yetu mpendwa @SuluhuSamia Ikikupendeza kaa mbali na Kigwangala,yaani huyu alimkosea baba wa taifa kwa kulipa watu watengeneze sanamu ambayo haifanani kabisa na Nyerere na kutupa kazi ya kuwaelekeza watoto wetu hadi matusi yanatutoka πππ
@SuluhuSamia Yaani tokea kitambo sisi tunakukubali balaa mama yetu @SuluhuSamia sema uwe makini na CHAWA PRO,hawa ndio tatizo kwenye nchi yetu..Ikikupendeza warudisha @godbless_lema na @TunduALissu nyumbani..sisi sifa yetu ni kuhifadhi wakimbizi kutoka nchi nyingne sio hili wa kukimbia kimbia
@eFrddie Atuambie kwanza walitumwa na nani alafu ndio tufikirie kuwapa huo msamaha,usikute wanapanga tukio jingine,Hawa akili wanazijuaga wenyeweππ
Kwamba hamjui Kama mlikosea watu au mnapima ??..Zile kauli za kuhamasisha chuki mmezisahau mara hii??..Kwanini leo ndio mnaona Kuna umuhimu wa kuombana msamaha??,Ni sababu ya mama yetu @SuluhuSamia au kwa kuwa Sasa hivi hamna uhakika na hali ya "Ugali" wenu wa kesho??..πππ€π€
Mama kama mama yaani!,ukiendelea hivi nitatembea kwa miguu Hadi makao makuu ya chama kwenda kukuchukulia fomu 2025!,ila mama @SuluhuSamia Watumishi wa umma mwaka wa sita huu hali zao mbaya,nakukumbusha tu sio kwa ubaya lakini.
@kigogo2014 Yaani kabisa walikaa chini,wakafikiria wakaamua kuibuka na hili BOKO??..Akaunti inatoa taarifa za mhalifu kwa kutumia image ya mtu mwingine??..au wamethibitisha kwamba huyo mwenye pcha ndio @kigogo2014 mwenyewe?? Kuna siku kodi zetu zitatumika kulipa gharama za haya mambo mjue π€·