Mzima wewe mpendwa. Hujambo na karibu sana kwenye kipindi #MixedFlavors. Swali la biblia: Ni nani kupitia Anania, alipata uwezo wa kuona mjini Damascus?
SMS Line: 0110089270
Twitter : @NdengaDynah
@BHusema@oresi_casphine
Hujambo na karibu tujumuike sote kwenye kipindi #MixedFlavors. Swali la biblia: Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse.
Muujiza huu unapatikana wapi kwenye maandiko matakatifu?
sms line: 0110089270
Twitter: @BHusema
@NdengaDynah