Dear friends, I am joining SHIJUWAZA to lead their advocacy and communication department towards inclusive rights for PWDs. We are officially available to all platforms with username: shijuwaza_znz , kindly join efforts with us!
🔔 SHIJUWAZA Welcomes Hija Shamte (Joelbert) as our to lead the Advocacy and Communication department!
With 7+ years of transformative experience, he joins us with a strong record of impact in Zanzibar and Mainland.
FCS inazialika Asazi na wadau katika mjadala juu ya hali ya Asasi za Kiraia nchini Tanzania. Mjadala utafanyika hapa X leo tarehe 30 mwezi wa 4 kuanzia saa Tisa hadi saa kumi na moja jioni.
Jiunge nasi kutoa maoni yako
https://t.co/Hoay5JxOJ9
https://t.co/p1ZsJoViZn
(Blending Zanzibar Cultural Visibility with the enhancement of knowledge on women empowerment in leadership. Link up to insta video for details)
Malengo ya kila msichana yanaweza kufikiwa sawa na ya mvulana. Jumatatu hii, tunajitahidi kuongeza mipango ya ujumuishi kwa maendeleo ya pamoja.
#KheriYaJumatatu
Grateful to @TAMWA_Zanzibar for trusting me to develop their Media & Communication Manual and coach their team on emerging trends in comms. 2024 is just the beginning of impactful collaborations. Open to working with others committed to making a positive difference. Thank you!
The genesis of the cherished history of Africa's beloved island, which continues to gain global recognition hours by days. Happy 61st Anniversary of the Glorious Zanzibar Revolution! 🎉
What assumed to be the lost years, were the beautiful times for life lessons. As 2024 reach its edge, am thankful to co-workers from @cyd_zanzibar but then my beautiful family for ensuring strong ties till this time. Am proud to my beautiful Sister for her accomplishments as well
Nimefurahi kujumuika na vijana wenzangu wakatoliki katika ibada ya ufukweni (Beach mass) hapa Bagamoyo.
Lengo la Ibada hii ni kumshukuru Mungu kwa mema yote aliyotujalia mwaka huu 2024 na kumwomba atujalie mafanikio na baraka tele mwaka ujao.
Nataka kufahamu taratibu za Bunge zipoje. Hivi ikitokea Mbunge akiwa kwenye majukumu yake ya kutetea wananchi Bungeni akatoa kashfa ya kuichafua Serikali na baadae kuthibitika sio kweli, je anakuwa na ulinzi wa hoja zake tofauti na raia wengine uraiani? #TwitterMsaada
The life span of past knowledges was longer than how it is in our days. Maybe in the world we are living, the change happens so quickly than the past and so we need to regularly update our skills. #MeThinking
TLS kwa kushirikiana na Foundation for Civil Society chini ya mradi wa URAI WETU wanahitimisha kikao kazi kilichokuwa kinapitia mfumo wa sheria za kodi zinazogusa AZAKI (CSOs) kwa ajili ya kuandaa mapendekezo ya maboresho ya sheria hizo yatakayowasilishwa kwa Kikosi Kazi Maalum kilichoundwa hivi karibuni na Mheshimiwa Rais, Dkt Samia Suluhu Hassan ili kuwezesha kuweka mazingira wezeshi kwa AZAKI (CSOs) kufanya shughuli zao kwa ufanisi zaidi. Kikao kazi hiki kilichoanza juzi tarehe 3 Desemba, 2024 kimehusisha mawakili na wataalamu wa masuala ya kodi na sheria za kodi wanaotoka katika mtandao wa Haki Kodi (Tax Justice Working Group).
Zanzibar stands as a beacon of cosmopolitan harmony, uniquely defining itself by embracing peace and recognizing that the freedom to worship is a fundamental right for all.
#HappySunday#UnityInDiversity#PeacefulCoexistence
Tunajivunia ushindi wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanaume kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco! Pongezi kwa wachezaji, viongozi, mashirikisho, na Watanzania wote kwa mchango wenu mkubwa kwenye mafanikio haya ya michezo. 🇹🇿⚽ #AFCON2025
TLS imehitimisha mafunzo ya siku mbili ya kuwajengea uwezo wa kufanya uchambuzi na uchechemuzi wa sera na sheria kwa Asasi za Kiraia (AZAKI). Mafunzo hayo yamefanyika Morogoro tarehe 11 - 12 Novemba 2024 ambapo wadau wamekiri kupata uelewa mzuri wa kufanya uchambuzi na uchechemuzi wa sheria na sera zinazowasimamia kwenye taasisi zao.
Not too far, not too close... not too old, just a young man who saw the world differently from a young age.
Just a reminder, I am still existing my family!
Mimi na mwenzangu tumeiweka historia ya kuwa Waandishi wa Habari wa kwanza nchini kumhoji mkurugenzi mpya wa Benki ya Dunia, Mtanzania Dr. Zarau Kibwe. Ni mtu aliyekulia na kusoma na kufanya kazi katika mazingira yetu na sasa anatufanya tujivunie utanzania wetu!
Umasikini ni mbaya, Mshikaji nilisoma naye Shule ya msingi alikuwa na akili sana tulivyohitimu alikosa ada ya kuendelea sekondari wengine tukapita kwenye tundu la sindano, Jamaa alikuwa Genius na kila tukikutana ananiuliza maswali ambayo sikuwahi kuwa majibu, Jana amefariki