OFAA zinaendelea
Baada ya 850,000 njoo na 750,000 free delivery 🙌
Usiwaze huna cash njoo uwekeze kipindi hiki ili usipitwe na ofaa wahenga wanasema "haba na haba hujaza kibaba" kwanini uteseke
Fr 2 Thanks boss wangu kibiti mtupokee
Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana
Tuseme ukweli, huwa wanasema mchawi akija kuroga ndani hata akute bilioni hachukui si ndio.
Haya vipi kama mchawi akiwa ni mchaga, hivi aone elfu kumi ataiyacha kweli 🤣🤣
Hii teknolojia mpya ya teleportation haiwezi kuwezekana kama kutakosekana vitu hivi
1. Invisibility technology. Mfano wa ile hadith inayosambaa mitandaoni kwamba Nikola tesla ndio alikuwa mbioni kuitengeneza. (Haipo)
2. Speed of light. Yaani ni kwamba mtu aweze kusafiri kwa speed inayozidi speed ya mwanga. (Haipo)
Hii ya kupotea ghafla upo Tanzania unatokezea Ujeruman ipo kabisa. Ila sasa tunaiwekaje kisayansi. Maana kwa sasa ipo kiasili zaidi.🤣🤣
Majini pia wanaiweza kumbuka wale walioenda kubeba kiti cha malkia wa sheba wakamletea mfalme suleiman kabla hata hajapiga ukope jini lilishakileta.
Hivi vitu vyote tumwachie T, Insha'Allah naamini mwaka 2054 atakuwa mwanasayansi bora kabisa kuwahi kutokea. Atatengeneza kisayansi zaidi na litawezekana.
Unaweza kujitathmini kimaisha ukasema upo level ya chini sana, siku ukishuka chini zaidi ya hali Yako ya sasa ndipo utajua kumbe nilikua juu kimaisha. Usiidharau hali yako ya sasa, upo vizuri, keep it up.
Good morning family.