HUMU MJENGINI ( TWITANI) INATEGEMEA UNATAKA NINI, UKIKAA KIMKAKATI, KAMA NI SHULE WATU WAKO NONDO SANA HUMU, MADINI UTAPATA ILA UKILETA UCHIZI WATU WANARUKA NA WEWE KICHIZI CHIZI ..... ILA MADINI YAPO MENGI MNOO. NA HATA WATU WEMA PIA WAMO HUMU TRUST ME. #TWITAANALYZERπ€
@Rydx_017 Nisaidie namba ya mmoja, kesho niamkie ubalozi kugasi visa....Twende nyu yoki kwa Turaph! πππ Base line jamaa anajua kuchora kinoma π«‘π«‘
@Mr_MikeOG Then with small voice you shout to El Rubio this grams of gold within my body it's enough, let me go please....Just imagineπͺπͺπͺπͺπππ
@spana_Konki Wanasababisha wengine tunyimwe sasa....Si waendelee kukausha tu. Sasa hv kweli tutapata ya kuonewa huruma si atahisi wote ni wa hivi hivi.... π’π’π’
@sugarbabe_255 Mwenye anauza viatu kama hv ni bei gani, nijiandae mapema ma bring bring manake hutu TUKUYU maduka mengi ni YEBO zile nene zile. Sasa naona uraba flan hv huku kwetu ni adimu... Niweke kwenye bajetiππ
@sugarbabe_255 Chicca nilifanikisha nikapata laki tatu, wale washenzi wa tuma kwenye namba hii wakanitapeli laki mbili na sabini.... Ila sijachoka kupambana nitapata tu na nitakupata.... Ila huruma ikikuingia pia nikumbuke manake napambana mnooo sema tu ya ulimwengu... Ila tuko pamoja π₯°π₯°
@sugarbabe_255 Sichoki kuchungulia chungulia, huenda vikapostiwa na vitu flan hivi vikisindikizwa na tumaneno flan hivi like stayed 2 week without being touched by a man!! Tukawekewa kweupe..... kama bidii tu ya kutembelea tembelea hapa niyo mnooooo..... Incase nikapitwa munitag plzπͺπͺπͺ