Mara nyingi sisi wanadamu tunakimbia makosa yetu kama vile yanatutafuta. Lakini mtu mwenye Hekima za ki Mkosaji anasimama na kuyaangalia moja kwa moja makosa yake na kuyakabili. Na kukiri: "Nimekosea hapa ila nimejifunza nini!?"
#Hekima_za_mkosaji_na_mkosoaji
@zittokabwe Mh @zittokabwe Kabla ya kwenda huko tumejiuliza changamoto ya mfumo tulionao ni nini !? Je ni mfumo wenyewe ama usimamizi na uendeshwaji wa mfumo!?
@IAMartin_@edwinbaraza5 Mkuu umejenga hoja vizuri kama ilivyo ada ila hili la tume tungeliacha kwanza,kwamaana wao wameeleza juu juu(mukhtasari) yao walioyaona yawezekana walifanya hili ndio maana wakajiridhisha...MUDA NI MWALIMU MZURI
#Hekima_za_mkosaji_na_mkosoaji
Katika haya maisha,hakuna mkamilifu,sote tu wakosaji,ila pia sote tu wakosoaji wa matendo na fikra zetu,maono na fikra za wengine...Ila yatupasa kuheshimu kanuni za maisha hata pale zinaploeta mgongano.
#Hekima_Mkosaji_Mkosoaji
@Patriote257 KIRUNDI-Mwiriwe(KIHA-MWIDIWE)
KIRUNDI-UZOZA(KIHA-ULOZA)
KIRUNDI-URUMVA(KIHA-ULATEGEZA)
KIRUNDI-OYA(KIHA-KAYEE)
KIRUNDI-NI NZIZA( KIHA-NI NSOLE). KIHA sio Kirundi, ni sawa useme KIRUNDI na Kinyarwanda ni lugha moja, Kuna tofauti.
@INFLUENCERjr Hatuna Taifa Linaitwa Tanganyika,Tuna Tanzania …Tanganyika ilizikwa 1964…Tuipende Tanzania yetu nchi ilioasisiwa na wazee wetu na Sio Tanganyika ya wakoloni…
@Babadancila@MarekaMalili Kama ni muungano why Zanzbar tunaiona ila Tanganyika haipo.!?Kilichafanyika ni kuongeza mipaka ya kiutawala ya Taifa la Tanganyika,na kuanzisha taifa jipya la Tanzania…
@Babadancila@MarekaMalili Kuhusu jina la Tanganyika kufa , ni uamuzi wenu wa Tanganyika kuachana taifa la wakoloni na kuanzisha taifa lenu wenyewe la Tanzania..
@Babadancila@MarekaMalili Bado Na sio kweli mtanganyika hamiliki ardhi Zanzbar,bali sharti ni uwe mzanzbar mkazi(uwe umekaa Zanzbar kwa zaidi ya miaka mitano)