Welcome to John Shule Park (JSP). We are glad to have made it this far to honor the legacy of John Shule. It has been quite a journey, and we hope you will join us in sharing the wealth of fun, joy, and happiness. This is April 2025 - let's go!
We had the honor to support the #WatotoPaintChora at
@JohnShulePark Moshi 26.04.2025. We had about 50 children who are ready to become artists, some of whom are already the best artists. Big up to our instructor @uncleg_27 and @Naamala our Manager Contact: +255 760 82 77 00
Baruapepe yetu ni [email protected] na tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii @JohnShulePark na tovuti yetu https://t.co/umntR0B4CY KARIBU KILIMANJARO SANAA SOKO (KiSS), Karibu JOHN SHULE PARK!
Ni wakati wa Sanaa Soko in Kilimanjaro
KARIBU KILIMANJARO SANAA SOKO (KiSS)
Ni wakati mzuri kusherehekea wasanii wetu nguli katika uchoraji, upigaji picha na ubunifu kwa kutazama na kununua kazi zao.
Karibu John Shule Park (JSP)-Karanga, Moshi, Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 APRILI mpaka 4 MEI 2025, saa nne(4) asubuhi hadi saa mbili(2) usiku. Kwa mawasiliano zaidi: Piga au tuma ujumbe mfupi(SMS) kwenda namba 0758907980.