Over 80% of #Burundi ’s 🇧🇮international trade flows through the Central Corridor via Tanzania 🇹🇿. Honoured to have been received in audience by H.E. Gelasius Gaspar Byakanwa, Ambassador of the United Republic of #Tanzania to Burundi as we discussed our organisation (@TradeMarkAfrica) role in promoting efficient cross-border trade, particularly between Burundi and Tanzania.
📍Dar es Salaam
▪️Tanzania na Misri kuendeleza ushirikiano wa kimkakati kupitia Bandari ya Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Diplomasia ya Uchumi katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga,amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Misri nchini Tanzania, Mheshimiwa Sherif Ismail tarehe 14 Aprili, 2026 katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Lengo la mkutano huo ilikuwa ni kupitia maendeleo ya uhusiano wa kidiplomasia ya uchumi na kujadili fursa za kimkakati za ushirikiano, hususan katika kuimarisha miundombinu ya usafirishaji na lojistiki nchini.
Majadiliano hayo yalijikita zaidi katika pendekezo la upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam, ambapo Serikali ya Misri imewasilisha nia yake ya kuchangia katika masuala ya usafirishaji wa meli na lojistiki za mizigo. Pande zote mbili zilisisitiza kuwa kuimarishwa kwa miundombinu hiyo kutachochea muunganiko (connectivity) bora na kurahisisha usafirishaji wa bidhaa za kibiashara kati ya nchi hizo mbili, jambo ambalo litaleta manufaa makubwa ya kiuchumi kwa pande zote.
Kupitia ushirikiano huu, Misri inalenga kutumia uzoefu wake katika sekta ya miundombinu kusaidia jitihada za Tanzania za kuwa kitovu cha biashara kikanda. Hatua hii inatarajiwa kufungua milango mipya ya uwekezaji na kuongeza ufanisi katika mnyororo wa usambazaji bidhaa ndani ya soko la Afrika, huku ikijenga misingi imara ya ukuaji wa uchumi wa viwanda kupitia mifumo ya kisasa ya uchukuzi.
Discussions also covered the upcoming Tanzania-Kenya Investment Forum in May 2026 in Dar es Salaam, and its potential to deepen bilateral trade, unlock new investment opportunities, and strengthen regional value chains.
Read More https://t.co/U5QL0d8hyi
The meeting focused on the vital role of the private sector in advancing EAC integration through trade and investment promotion 📈, stronger cross-border business linkages 🌍, and closer public-private collaboration in addressing barriers to regional commerce. #EABC#Diplomacy
✨It was a pleasure for #EABC Executive Director @AhmedFarah__ to pay a courtesy call on Ambassador @JohnUlanga, Director of Economic Diplomacy at the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation of the United Republic of Tanzania 🇹🇿.
@AfCFTA@tpsftz@TanzaniaCTI
This Morning, Minister @COSullivanTD had a roundtable discussion with reps from the Irish Business in Tanzania network, Ambassador @JohnUlanga, & reps from @TradeMarkAfrica & @undptz to discuss how the Embassy can continue to support strong trade relations between 🇮🇪 and 🇹🇿.
5:Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Biashara ya Kimataifa na Diplomasia ya Uchumi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi John Ulanga akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyofanya Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026. Mhe. Balozi John Ulanga alielezea fursa mbalimbali ambazo Tanzania imepata kupitia Uwekezaji wa Teknolojia ya Mawasiliano.
6:Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Noel Kaganda akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyofanya Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026. Balozi Kaganda alielezea kwa kina faida za ushiriki wa Tanzania katika mikutano mbalimbali ilifoyanyika Dubai.
7-8:Viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu Ziara za Kikazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026 pamoja na Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026.
To participate in the U.S.A. - Tanzania Trade and Investment Forum, scheduled for September 22, 2025, in New York City, NY, kindly register using the link provided below:
https://t.co/c5NlNrK7qz
Ambassador Ulanga hosts a group of SA Diplomatic Trainees
The Director of the Department of Economic Diplomacy at the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Amb. John Ulanga held a brief session with diplomatic trainees from the Republic of South Africa, walking them through Tanzania’s implementation of economic diplomacy.
During the session, Amb. Ulanga explained the evolution and implementation of Tanzania’s Foreign Policy, through economic diplomacy strategy.
The trainees are undergoing a one-year skill development program before they get deployed to South Africa’s diplomatic missions abroad.
On behalf of the trainees, the Second Secretary (Political) at the South African High Commission in Tanzania, Mr. Ndumiso Mngadi thanked the Ministry for the cooperation given and for the knowledge imparted to the trainees, which is beneficial for their daily work.
We did it! @CEOrtTZ 25th Anniversary Legacy 10 km run in just over an hour - First Ladies through!! Time for a Big Cappuccino ☕️ @tammyclaytonUK@JohnUlanga
The 🇹🇿 delegation visited @WeAreKerry in Ireland, gaining insights into their global operations and growth plans for Africa.
@WeAreKerry in #Tanzania stands as a strong example of Irish investment driving local value addition and sustainable growth.
At #AIHF2025, Tanzania’s Amb. @JohnUlanga stressed that finance for green energy is vital, Africa needs access to power.
@IrlEmbTanzania recognizes Tanzania’s role in the green transition and proudly supports this vision through the EU’s Global Gateway. @EUinTZ
📍Arusha
Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ikiongozwa na Katibu Mkuu, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo na Katibu Mkuu, Balozi Stephen Mbundi, wamekusanyika jijini Arusha kutathimini utekelezaji wa majukumu ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 na namna ya kuboresha kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Mkutano huo unahusisha wakuu wa Idara na Vitengo utafaanuika kwa muda wa siku tatu kuanzia Juni 13, 2025.
Ikumbukwe hivi karibuni Wizara ilizindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001, toleo la 2024, hivyo Mkutano huo utaweka mikakati madhubuti ya kutekeleza sera hiyo kwa ufanisi zaidi ili kufikia malengo tarajiwa ya utekelezaji wa DIplomasia ya Uchumi.
📸 | W/Mambo ya Nje
Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
📍Vietnam
▪️TANZANIA YANADI FURSA ZA BIASHARA NA WAWEKEZAJI VIETNAM
Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji zinazopatikana hapa nchini.
Mazungumzo na makumpuni hayo, yaliyofanyika jijini Ho Chi Minh, Mei 1, 2025 yalilenga kuyashawishi makapuni hayo kuja kuwekeza nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo ujenzi, uvuvi wa kisasa, kilimo na kutafuta soko la bidhaa za kilimo ikiwemo korosho.
Makampuni hayo yaliyotembelewa kwenye Makao Makuu ya Ofisi zao na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Tanzania ni pamoja na Viet Nam Association Seafood Exporters and Producers, Hao Binh Construction Cooperation na Viet Nam Cashew Association.
Viongozi na Watendaji Wakuu wa Makampuni hayo baada kuvutiwa na fursa na motisha zinazotolewa kwa wawekezaji nchini wameeleza utayari wao wa kuanza kufuata taratibu zitakazo wawezesha kufanya biashara na uwekezaji hapa nchini.
Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo hayo ulijumuisha Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw. Gilead Teri, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Felista Rugambwa, Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji Bw. Vicent Minja, Mkurugenzi Mtendaji na Mmiliki wa Kampuni ya SM Holdings Bw. Nahdi Saleh Mbarak, ukiongozwa Balozi John Ulanga.
📸:W/Mambo ya Nje
Minister @mfa_tanzania, Hon. Amb. Mahmoud Thabit Kombo, held a productive meeting with the Deputy Prime Minister and Minister of Foreign Affairs of Viet Nam H.E. @FMBuiThanhSon in Hanoi City. The two leaders reaffirmed their commitment to enhancing cooperation across key social and economic sectors, including trade and investment, agriculture, defence and security, education, mining, manufacturing, technology and exchange programs.
They also exchanged views on the establishment of a joint legal framework, which will play a significant role in facilitating and implementing collaborative initiatives in other areas of mutual interest. @MOFAVietNam
Mkutano wa kuvutia mitaji ya uwekezaji wafanyika jijini London katika Makao Makuu ya Bank of America na kuhudhuriwa na Uongozi wa Bank of America UK na mifuko ya uwekezaji (Equity Funds). Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Fedha Mheshimiwa Saada Mkuya Salum aliyefuatana na Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje Balozi @JohnUlanga na Wakuu wa Taasisi za ZiPA, ZHC na ZSSF