Ukishaanza kukopa hii mikopo ya Mpawa, Selcom, bank n.k
Kuchomoka ni ngumu. Ni mwendo wa kuhamisha madeni.
Ukiweza achana na mikopo mwanangu yaani pesa ikiingia inapigwa mapanga kwanza π
Miaka chini ya 35 ππ»
Mara moja moja toka kijiji ulichopo nenda kijiji kingine.
Toka mkoa uliopo nenda mwingine. Toka Nchi uliyopo nenda nyingine.
Sometime milango ya fursa na pesa haipo hapo ulipo leo. Siku ukihama utagundua kumbe ulichelewa.
@kapeto98 Employer anajifunza kutumia technolojia mpya na AI kisha anafukuza wafanya kazi.
Teknolojia itachukua kazi za watu wengi sana - tusidanganyane.
Kitu kitasaidia ni kwamba kila mmoja awe na uwezo wa ku run biashara yake mwenyewe kuliko kuajiriwa.
Nimepata chimbo la ku stream movie bure na uzuri ofisini kuna wifi, leo ni check movie zote kali HD hata zile anazoshare @Meku_255
Chimbo lenyewe -> 1flix. one π₯
Mwezi ukifungwa,
funga pia visingizio vyako. Usibebe sababu zile zile kuingia kwenye mwanzo mpya.
Usiingie mwezi mwingine
ukiwa na tabia zile zile
zinazokurudisha nyuma. Kumekucha tena wapambanaji
Passport inatolewa na nchi yako ni hati ya kusafiria kwamba βhuyu anaweza kuja kwenu hana kipengeleβ
Visa inatolewa na nchi ambayo unataka kwenda, kibali au ruhusa ya kuingia kwenye nchi yao. Hauwezi kupata Visa kama hauna passport.