He walked away from a promising professional soccer career to stay true to his faith.
Swiss footballer Silvan Wallner gave up a bright future in the sport because he chose to put God first.
His story reminds us that no success is worth more than faithfulness to God's principles.
Comment: "God First" if you want Him to be the top priority in your life.
🌙🇺🇸 After distributing 6,000 books in Washington, D.C., Pastor James Rafferty shares an inspiring update. Watch the reel, pray for every reader, and get your FREE copy of America at 250: https://t.co/9sYWEhkxLS
Worshiping God every Sabbath gives us the experience of His power and Spirit. In His presence, we become ready to face another week with hope and gladness.
Kuna tofauti kubwa kati ya Wabunge waliochaguliwa na Wananchi na Wabunge waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi.
🚨‼️#EnforcedDisappearances#Tanzania ‼️
More abductions on the rise targeting opposition members and critics ahead of planned 7/7 demos
Hawa polisi CCM wakishirikiana na genge la Abdul linaloongozwa na Sumai wanaendelea na utekaji
Wamewalenga sana viongozi wa CHADEMA lakini hata vijiweni wanapita na kupigisha stori wapate wa kuwateka!
Huu udhalimu una mwisho na watawajibika wote!
Wanachofanya ni kuongeza hasira na chuki - kikilipuka vifua vya watanganyika sijui nani atawasaidia kutuliza maana hata viongozi wa kuwatuliza mnawaweka ndani na kuwateka
Haya! #TutaelewanaTu
#77Tunatoka #SamiaMustGo
I heard Zuchu is In kilifi to perform to the Proud Community of Elites Educated Kenyan People in east Africa
All what we know Kenyans don’t need to be told what to do ,they already know
Kenyans Please do what is Supposed to be done and you already know what it is
Repost 780
Tanzanians still extend gratitudes and heartfelt thanks to Our Kenyan Brother Larry madowo @LarryMadowo
We acknowledge that without his consent on this matter it would not have taken a Great turn which it has taken right now
Larry You are cherished but everyone
Repost 780
SERIKALI IMEENDA KULIA BUNGE LA ULAYA INAOMBA HAKI YA KUSIKILIZWA.
Hii ni barua rasmi ya wasiwasi iliyoandikwa na Balozi wa Tanzania mjini Brussels tarehe 25 Novemba 2025, ikielekezwa moja kwa moja kwa Bunge la Ulaya.
Jambo kuu:
Tanzania inapinga vikali mjadala uliopangwa kufanyika tarehe 26 Novemba 2025 (kesho yake) katika kikao cha plenary cha Bunge la Ulaya chenye mada:
“Post-election killings and the deteriorating human rights situation in Tanzania, including the case of imprisoned opposition leader Tundu Lissu.”
Malalamiko ya msingi ya Tanzania:
1. Mada inahusu masuala ya ndani yanayogusa uhuru wa nchi (sovereignty) na heshima yake.
2. Tanzania haijapewa nafasi hata moja ya kutoa maelezo au kujitetea kabla ya mjadala.
3. Hii inakiuka moja kwa moja Makubaliano ya Samoa (OACPS-EU) ambayo yanasisitiza:
- Mazungumzo ya pande zote mbili
- Heshima ya pande zote
- Suluhisho la migogoro kwa mazungumzo kabla ya hatua za umma au za upande mmoja.
4. Hata katika Kamati ya Mambo ya Nje (AFET) Tanzania haikualikwa kutoa ufafanuzi, hivyo mjadala una hatari ya kutegemea habari za upande mmoja na zisizothibitishwa.
5. Inakiuka kanuni za kimataifa za haki ya asili ya kusikilizwa (right to be heard).
Tanzania inasisitiza:
- Imeunda Tume ya Taifa ya Uchunguzi huru kuchunguza matukio yote ya hivi karibuni.
- Iko imara katika demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.
- Inathamini uhusiano wa muda mrefu na Umoja wa Ulaya.
Ombi rasmi:
- Iahirishwe mjadala wa plenary hadi Tanzania ipewe nafasi ya kutoa maelezo yake rasmi, au
- Angalau iruhusiwe kushiriki na kutoa mada yake wakati wa mjadala huo huo ili wabunge wa Ulaya wapate picha kamili na yenye usawa.
Hitimisho la barua:
Tanzania inaomba jibu la haraka na inasisitiza kuwa ushirikiano wa kweli unahitaji mazungumzo, si hukumu za upande mmoja.
Kwa kifupi sana:
Tanzania inasema wazi:
“Hamna haki ya kutuhukumu hadharani bila kutusikiliza kwanza. Tupe nafasi ya kujieleza kama washirika, kama ilivyoagizwa katika makubaliano yetu.”
MWISHO.
Mnakumbuka Ile habari ya siku kadhaa nyuma kuhusu BUNGE LA ULAYA kupiga kura ya kuacha kutoa misaada ya kifedha kwenda serikali ya Tanzania kwa yote yanayoendelea nchini. Ndio YOWE LOTE HILI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
GIRISHONI.
Serikali imemtuma Girishoni kulalamika kwamba hawajatendewa haki na CNN lakini ameshindwa kujadili na kuonesha upotoshaji wa maudhui ya CNN ambayo alisema anakwenda kuchambua na kuchakata.
Tulitegemea kuwaona Serikali mkileta ushahidi wa picha za satelite kuonesha hayo mauaji siyo Tanzania ni Sudan au Afghanistan. Badla yake mnalalamika CNN hawajawatendea HAKI. Hivi ninyi najielewa kweli?
Tulitegemea leo uwaite waandishi wa habari na kuonesha huo uongo wa CNN. Ulitakiwa kuleta ushahidi wa kimantiki kupinga ushahidi wa kisayansi uliofanywa na CNN. Umetuletea UTAPELI tu na kurusha mate.
Mlitakiwa kutuonesha upotoshaji, kwamba picha hizo walizotumia CNN ni zamani wakati wa vita ya MAJI MAJI au VITA ya KWANZA ya DUNIA. Badala yake Serikali inakuja mbele ya umma kuleta malalamiko tu.
Unaongelea principle of natural justice, kwamba CNN kabla ya kuchapisha taarifa walitakiwa kuwasikiliza. Larry Madowo anasema amewatafuta na mmekimbia mahojiano na CNN. Mlitaka CNN wafanye kitu gani?
Hata leo, hamjataka kuwaalika CNN wafike muwaumbue kwa kuonesha taarifa ya ukweli tofauti na yao – ambayo Serikali yenu inasema ni upotoshaji. Mmealika ‘vi-blog uchwara’ vinauliza kuhusu bandari.
Unatakaa application ya principles of natural justice, ninyi kwanini mliamua kuwapiga risasi za kichwani, mgongoni, kiunoni waandamanaji? Kwanini hamkutaka kuwasikiliza kabla ya kuanza kuwaua waandamanaji?
CNN wanasema wame’ extract materials from the 1st source. CNN wamekwenda hadi katika maeneo watu walipouwawa na kuzungumza na familia za wahanga. Tulitegemea kuona mnakanusha taarifa ya CNN.
Larry Madowo anasema CNN wamekwenda hadi eneo la tukio na kuzungumza na familia ya mama aliyepigwa risasi mgongoni akiwa anakimbia kujiokoa. Tulitegemea kusikia mnakanusha kwa kuleta ukweli wenu.
CNN wanasema wamezifikia familia za wafiwa na majeruhi na kuzungumza nao wenyewe. Wanasema wamezungumza na watu zaidi ya 100 katika kutafuta ushahidi wao. Mnatuletea porojo zenu tu.
CNN wametoa ushahidi wa picha za satelite kuonesha uwezekano wa uwepo wa makaburi ya halaiki. Serikali imemtuma muhuni wake kutoa maelezo lakini hajathubutu kugusia kabisa kuhusu tuhuma hizo.
Serikali yenu inakiri kwamba mauaji yametokea. Lakini hawasemi idadi ya watu waliouwawa na wangapi wamekabidhiwa kwa ndugu zao ili wazikwe. Hao waliouwa wamechukuliwa hatua gani za kisheria?
Unaulizwa kuhusu idadi ya vifo, unasema TUME itatoa takwimu za vifo na majeruhi. Kwa hiyo tusubiri miezi mitatu kufahamu matokeo ya tume? Kwamba siku ya 26 sasa Serikali haijui idadi ya watu waliouwawa?
Unalalamika CNN hawajawatendea HAKI. Hivi ninyi mliwatendea HAKI gani watu mliowapiga risasi na kuwaua? Tena mmewaua wakiwa siyo waandamanaji. Watu wengine wamefuatwa wakiwa majumbani
Kila siku Serikali na wapambe wenu mnahubiri kwamba AMANI kwanza, HAKI baadae. Umesahau kwa haraka sana. Leo ndiyo mnakumbuka kwamba HAKI inatakiwa kuanza kabla ya mambo mengine?
Unasema familia za watu ambao hawajaona ndugu zao waende polisi kuwatafuta. Nikuulize tu, Sheria gani ambayo inatoa ruhusa kwa mtuhumiwa kuwekwa mahabusu kwa siku 24 bila kufikishwa mahakamani?
Unasema kwamba, Larry Madowo hakuwa Tanzania wakati mauaji yanatokea. Kwamba Larry Madowo ametumia picha zilizopigwa kwa simu. Kwa kuwa ni picha zilizopigwa na simu zinaondoa ukweli wa mauaji?
Girishoni anasema kuna kikundi kidogo cha watu 20 wenye akaunti mitandaoni 200 ambao kazi yao ni kuleta kupambisha, kuchochea, kutia fitina. Lakini anasahau wameua watu wengi ambao ni zaidi ya hao 20
Unavipongeza vyombo vya habari vya ndani kwamba vimetimiza wajibu wake ukifahamu hawaruhusiwi kuandika kuhusu mauaji ya raia isipokuwa kusambaza vipeperushi vya uharibifu wa mali tu. Mmelaaniwa
Umetumia saa 48 kuchambua na kuhakiki mini-documentary ya dakika 5 ya CNN halafu kitu ulichokuja nacho mbele ya hadhira ni kulalamika kwamba hamkutemdewa haki. Ungechambua mchele tu
NB; ukweli ni kama mimba, hata ufiche, ipo siku utajulikana. Labda ufanye abortion. TUTAKUWEPO