👊🏽🔥
“Mmeyataka mtayapata” - aliwaambia @TunduALissu
Mi nilikushauri @SuluhuSamia ukaniona mbaya ila muda umewadia sina cha kukuambia - yametimia!
Hapa tafuta njia ujiweke kando na uende kupumzika Dubai na familia, utuache tuchague tumpendae ktk uchaguzi huru na haki
Kwa ubabe huu umeshindwa - umetia aibu Taifa, chama chako na kiti cha Urais!
Ila bado kidogo #TutaelewanaTu
Askofu Bugonza wa jimbo la KkT karagwe amesema yeye atazungumzia na kukosoa siasa kama anavyo kosoa mambo mengine na kuwajibika katika jamii kwa lengo la kujenga nchi
VIPI MSAJILI EMANUELI KIHAMBA NA HILI UNALIFUTIA USAJILI AU UNAWAOGOPA????????
Tanzania Last Man Standing:
Crackdown on dissent intensifies in Tanzania
Suluhu government deregisters MP Gwajima’s church
Gwajima targeted for speaking out on abductions
Govt orders immediate suspension of church activities
#CitizenExplainer@YvonneOkwara
Ni Lazima @jgwajima afanyiwe haya tunayo-yaona usiku huu wa Manane, Sina uhakika Saanaaa ila Duru zina Dai kwamba Gwajima kuna Fail anazo tena zenye Ushahidi usio na Mashaka kuhusu Matukio yanayoendelea Hapa Nchini.....
Kuanzia Soka Mpaka Mdude..
Remember Gwajima alichokisema
Milio ya risasi za moto imesikika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Watu hao waliokwenda kumkamata Askofu Josephat Gwajima wamepambana kuvamia chumba chake lakini waumini wameendelea kuzuia asichukuliwe. Waumini hao wamekwenda kufunga barabara ya Morogoro.
Anaitwa mussa iddy mjema huyu ndio askari aliyepiga wananchi mahakama ya kisutu na kuzuia baadhi ya viongozi wa chama kutoingia mahakamani cheo chake kamishina msaidizi wa police ( ACP).
Huyu KIBAKA tunaendelea kutafuta taarifa zake ikiwepo namba zake za SIMU.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
PRESS YA ASKOFU GWAJIMA AMBAYO TCRA HAWATAKI KUIONA KWENYE MEDIA ZA TANZANIA NIMEKUWEKEA HAPA.
PRESS NZIMA IPO HAPA, WAPASUKE VIZURI.
REPOST KILA MTU AISIKILIZE.
WANAVYOTISHIA VYOMBO VYA HABARI NDIO KAMA WANACHOCHEA ISAMBAE VIZURI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mdude
Soka
Hawako hai na Samia analijua hilo!
Na anajiita muislamu safi,
Muliro anajua hata DGIS anajua haya ,
Gwajima Ana Mpaka video na maongezi ya waliokuwa wakitoa maelezo,
Usalama wa Taifa wenye nia njema wamempa clips zaidi ya 30 za mauaji mbali mbali
MIAKA 63 YA UHURU 😂😂😂
Tanganyika Tuna Vitu Gani Vya Kujivunia??
Viwanda hatuna,Kilimo Cha Umwagiliaji Hatuna,Bandari Hatuna,Viwanja Vya Ndege Vya Kimataifa Hatuna, Elimu Ya Vitendo Mashuleni Hatuna.
Sisi Tuna Robot, Machawa,Madeni, Utekaji n.k🚮🚮
Viwanda Tu Ajira Laki 2+.
Maelfu ya wananchi wa Arusha wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema, @HecheJohn baada ya kumaliza kuhutubia mkutano leo jioni. Asanteni Arusha, hakika Kaskazini hatokagi fala. Msimamo ni uleule #NoReformsNoElection ✌️
Hotuba ya mambo ya ndani badala ha kujadili maslahi ya polisi, badala ya kujadili vitendea kazi, maisha yao na uboreshaji wa jeshi.
Hotuba ikageuka kuwa hotuba ya wanaharakati na maagizo ya kupiga na kuumiza wenye sauti tofauti na ccm.
Shame!
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu