Ile Podcast ya D.Nkane anayohoji mates wake ⚽️ ni bonge la platform, bonge la idea👏
⚽️ Players wana nidhamu sana kwenye interviews, hawafanyi fanyi kirahisi kama sisi washika kipaza.
Ni nadra sana kuwaona ⚽️ players wakifanya fanya interviews na media (hasa online medias) kuongelea maisha na historia zao….very rare hasa bongo.
Faida ya kuhojiwa na mchezaji mwenzako, anajua nini akuulize nini asikuulize!!
lazima tutafute namna ya kuwasaidia wenzetu waliopewa kesi za 'ugaidi.' kama alivyoonya prof. shivji, na kama uzoefu unavyoonesha, hawa watu watasota sana gerezani maana serikali inajua haina kesi ya kuthibitisha, na mahakama hazionekani kuwa tayari kusaidia watu wa aina hii.
Kwenye hii hotuba ya 'kihaini' , Chalamila haioni nafasi yake kwenye katiba mpya, anaishia kujikuna kidevu.
Hapa ndio unaelewa msisitizo wa maneno magumu. TUPAMBANENI. TUKOMAE.
Mwandishi 'asiyemzalendo' angeuliza tupambaneni dhidi ya nani? Tukomae dhidi ya nani?
📆 𝗧𝗛𝗥𝗢𝗪𝗕𝗔𝗖𝗞: When Roy Keane grew tired of waiting for Wolves captain Paul Ince to lead his side out, he took it as disrespect.
So he didn't wait. Keane marched straight onto the pitch - and the entire Manchester United team followed.
🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: An investigation has been opened into potential match-fixing for sports betting during the 2026 World Cup.
According to a Council of Europe report, several incidents were flagged as suspicious, including Themba Zwane's red card against Mexico, more than $4.5 million being placed on a draw between Spain and Cape Verde before it happened, and the nearly four-minute VAR review that ruled out Ferran Torres' goal against Saudi Arabia.
FIFA says it has found no evidence that sports betting influenced any World Cup matches.
— @RMCsport
Been watching the World Cup since Mexico 86 & this current one has been the best by a long way so far!
Loads of goals & the star players on 🔥⚽️
Every few days there’s a new game of the tournament!!
Hii mikutano ya hadhara inayoendelea na mwitikio mkubwa unaoonekana katika mikutano hiyo inawafanya akina Ahabu na Yezebeli wa nyakati hizi kutetemeka. Dhuluma na ukandamizaji wa haki, kuuwa na kutisha si vya kudumu! kilio cha kweli, haki, na uhuru daima kitapata sauti yake. Kama Maandiko Matakatifu yanavyotufundisha, kiburi na uovu vinaweza kustawi kwa muda, lakini mwishowe haki hushinda, na watu husimama kuwa mashahidi wa uaminifu wa Mungu na ushindi wa yaliyo mema na ya haki.
Zaburi 34:17 “Waadilifu hulia, naye Bwana husikia, na huwaokoa katika taabu zao zote.”
Zaburi 37:1–2, 10–11 “Usiwakasirikie watenda mabaya, wala usiwaonee wivu wale wafanyao uovu; kwa maana watanyauka upesi kama majani, nao watafifia kama majani mabichi. Bado kitambo kidogo, na mwovu hatakuwapo; utatazama mahali pake, wala hatakuwepo. Lakini wanyenyekevu watairithi nchi, nao watajifurahisha katika amani tele.”
Ni mwekezaji gani mwenye akili timamu atakayekuwa tayari kuwekeza katika mazingira yanayoonekana kuwa na hofu, sintofahamu na kutokuwa na uhakika? Kujaza askari na wanajeshi wenye silaha nzito mitaani inazua taharuki na maswali mazito kuhusu haki, amani, utulivu na usalama wa mazingira ya biashara.
Wawekezaji hawaangalii tu fursa za kiuchumi; wanaangalia pia utawala bora, utulivu wa kisiasa na namna washirika wa maendeleo wanavyotathmini hali ya nchi.
Hao mnaowaita “mabeberu” ni sehemu ya mfumo wa kimataifa wa ushirikiano na maendeleo. Maamuzi yao ya kupunguza au kusitisha misaada mara nyingi huakisi wasiwasi kuhusu masuala ya haki za binadamu, utawala wa sheria na uwajibikaji wa taasisi za umma. Taarifa na madai yanayohusu mauaji, enforced disappearances na kudhoofika kwa taasisi muhimu za nchi km mahakama, bunge, media, nk vina athari kubwa katika kujenga au kuvunja imani ya kimataifa.
Ukweli ni kwamba imani ndiyo mtaji mkubwa wa uwekezaji. Pale ambapo kuna mashaka kuhusu uhuru na ufanisi wa taasisi, wawekezaji huanza kusita. Swali la msingi ni hili: bila kulinda haki, uwazi na utawala wa sheria, tutawashawishi vipi wawekezaji kuamini mustakabali wa uchumi wetu na biashara zao?
That is an awful VAR intervention given the manner in which this World Cup has been refereed.
Lamine Camara was sliding in to clear the ball and is about to play it. Youri Tielemans places his foot ahead of Camara’s and is hit by him.
There is no intent to foul. The referee didn’t see a foul. Why VAR intervenes against the African champions when it has declined to intervene time and time again for far clearer penalties is hard to understand.
And the best football team went out.
#BELSEN #WorldCup