@Psiteshio1 Chunya atujengi hivo kaka
Chumba sebure 200000 utaki acha na hiyo 200k ni vymba vya kawaid self lakin bila self 150 self za kisasa zaid 300 hv kwa mwaka mi mwenyew wapangaji 4 kwamwaka Nina 9600000M
โMIMI NINA GROUP O, HAYO MAGONJWA SIUGUAGIโ
JE..? ukiwa na damu kundi O, Magonjwa hayawezi kukugusa?
Au ni porojo tu za mtaani?
Maana naona watu huwa mnatamba na Blood Groop O Kwamba hampati UKIMWI..Kirahisi?
MAJIBU YAKO HAPA: Open Thread ๐งต
@Labella_Mafia95 Shida ni Ile mipele iliyo mtoka ukijichanganya tu mwenzio Alisha umwa aumwi tena ila we unae enda kumla jiandae ndan ya siku 21 kinakulamba ๐๐๐๐
@ExMayorUbungo Uishia kuugua kwa mateso na kunywa dawa za muda mrefu huku wakiomba mungu awachukue mungu uruhusu maumivu yasiyo na kikomo juu Yao
Wanadam 7:6-9
"Roho wa Bwana hataruhusu hayo, anapenda amani iwe kwenu. Hakuna amani bila haki na kama amani itakuwa kwenu, haki ni msingi wake, Roho Mtakatifu anataka awafariji hawa waliopoteza waume zao, wazazi wao, atawafariji namna gani kama hatuwajui, hatujui mfumo wao wa kuuwawa, na kwanini yanatokea mara kwa mara? Wauaji wa albino walipatikana kwa urahisi sana, kwanini wauaji wa watu wengine hawapatikani na mimi nitasikitika kweli nikifa ama nikipotea halafu nisipatikane, kwanza kaburi langu linajulikana, limo mule kanisani Musoma Mjini sasa libaki tupu tu kule halafu liitwe tu kaburi la Msonganzila, kwanini nisipatikane.
Wenye ualbino tuliwapata, waalimu waliofanya fujo za kila namna na kudanganya walipatikana wakaachishwa na kazi, wahujumu waliwahi kupatikana wengi tu wakati wa Sokoine, sasa leo wauaji wasipatikane, kuna shida gani, roho mtakatifu atuangaze tuwe wakweli na tusiogope kusema, ulimi kazi yake ni kuchuja kitamu na kichungu. Kinapochuja pokea huo mchujo, pokea, ulimi unachuja kujua utamu na ubaya uko wapi uache ubaya na ubaya unaua ndio maana ukinywa sumu utakufa kwasababu kazi ya ulimi umeichafua mwenyewe.
Kanisa la kipentekose ndio ninyi, mnaishi na hawa watu kwa karibu zaidi pengine kuliko mimi, kuweni weupe kwa dhamira yenu, kuweni waaminifu katika majukumu yenu. Bebeni upendo, unyenyekevu, ukweli, msamaha, chukieni dhambi, kuweni watu ambao mpo tayari hata kuumia kwa haki na ukweli, upendo na amani."- Mch. Michael Msonganzila, Askofu Jimbo la Musoma Pentekoste.