Changu Kidogo ni project inayohusisha kazi mbalimbali za sanaa na ubunifu kwa watu wenye Ulemavu,Tembo Worries, hii ni timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa Watu wenye Ulemavu (Amputee) iliyotupeleka WorldCup mwakani 2022 Turkey. Pia niwaandaaji wa michuano ya Africa CAANAF