Bashite ni mshenzi sana
Anataka kuua Watanganyika kwa madawa yaliyoisha muda sababu ana kwepa gharama za kuharibu hayo madawa kwa njia sahihi
Yeye ni mtu yuko kwenye biashara ya pharmacy ghafla anasimamia kusambaza madawa halafu kuna watu wanajihita TISS wapo tu
Anafanya dram nyingi kumbe anafanya miili ya Watanzania kama Dampo la madawa yaliyoharibika
TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 140
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 140 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Safari inaendelea.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
‼️Habari mbaya‼️
Huyu kwenye picha anaitwa Kelvin Ndabila ni mwanachama wa CHADEMA kutoka Mkoa wa Mbeya lakini pia ni Mwandishi wa Habari wa Jambo TV.
Jana jioni akiwa Mbeya, alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Askari, nimejulishwa kwamba yupo Central Mkoa wa Mbeya lakin mpaka sasa Polisi hawataki kusema kosa lake ni nini.
#FreeKelvinNdabila
‼️🚨 VIJANA WANAUWAWA KIHOLELA‼️
Huyu kijana Collins Erick Mkude alikuwa anafanya shughuli za ujenzi.
Mara ya mwisho alionekana Jumanne tarehe 14 Julai mwaka huu. Familia yake ilimsaka kila kituo cha polisi na walipofika Mwananyamala hospitali walikuta mwili wake mortuary jana Ijumaa 17 Julai na ana alama kadhaa za risasi - kwa kifupi aliuwawa!
Familia inataka majibu! Haiwezekani kijana atoweke alafu aibuke ameuwawa kinyama hivi! Hali hii mpaka lini?
Msiba uko Manze Uzuri
This young man disappeared for 3 days and his family found the body in a mortuary riddled with bullets! The family wants explanations!
This is what #Tanzania looks like under this murderous cabal! The youth are murdered wantonly!
#SamiaMustGo
Nikiona Comments kama hizi nafurahi sana maana nilitaka nione MAUMIVU KAMA HAYA.
Mwaka wa pili sasa hawajui
1: Naishije.
2. Nakula nini.
3. Napata wapi PESA ZA KUJIKIMU.
Wao wananiona tuu kila siku mitandaoni nachana ndevu safi, kula jezi Kali za bei mbaya, nabadilisha simu latest kila wakati, sijawahi kulilia NJAA, afya inanawili kama kawa MNYAKYUSA.
Niliwahi kusema HAWA WAPUMBAVU (WAKOLONI WEUSI), wakitaka kukupelekesha wanavyojua wao watahakikisha wanazuia ulaji wako.
Mimi kuzuia ulaji wangu hakikisheni “Argentina na messi hawafanyi maajabu , Arsenal anafungwa kila siku, Man u anakandwa kila siku”. Yani kiufupi muwe mnazihonga team ninazobetia zisitoe ninavyotaka—hapo mtazuia ugali wangu.
Kinyume na hapo mimi naendelea kunawili mbele ya macho yenu na kuishi vizuri maisha ambayo hakuna TAKATAKA yeyeto (POLICE) atakuja kuishi mpaka anazikwa na ukoo wake wote.
Huu ni mwaka wa PILI nawaahidi MUNGU AKINIPA AFYA NJEMA NA MIAKA MINGI CHINI YA JUA mtaona mengi sana mbona BADO.
Mimi sijaanza kuichangia CHADEMA LEO na sitaaishia hii kampeni ikiisha—kikubwa wananisaidia KUPAMBANA NA WAKOLONI WEUSI KULETA HAKI NDANI YA TAIFA-NITAENDELEA KUWEKA HELA NAAMINI SIKU MOJA MKEKA WANGU UTATIKI TUUU NA UKITIKI WAKOLONI WEUSI WOTE MPO JELA MAMAE ZENU.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
PUUZENI TAARIFA YA SATIVA BBC YA KUSEMA WANANCHI TUMESAMEHE MILLION 2 YAKE.
TUMEBAKIZA MILIONI TATU LAKI SITA (TSH. MILIONI 3.6) PEKEE KUFIKIA MILIONI 70!
Tumebakiza TSh. Milioni 3.6 tu kufikia TSh. Milioni 70.
Tuna masaa mawili pekee kabla ya saa 2:00 usiku kutimiza lengo hilo na kuandika historia ya kukusanya TSh. Milioni 70 ndani ya siku tano tu.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
100%. Hatuwezi kusapoti Chadema kwa maneno tu, lazma tutoe pesa.
Ngoja niwaambie kitu Watanzania, Chadema kukosa pesa ndio moja ya sababu kuu CCM wanawapata watu wa kufanya hizi press za kumchafua Heche.
Watanzania, hatutafika popote kama Chadema haina pesa .
Ni aibu kubwa sana nchi inayolilia haki leo ni siku ya 3 tumekusanya 50 million tu, ni aibu. Mtu ananunua bando ili aingie insta asome umbea wa nani kaachana na nani? Hizo buku 5 za bando la kufatilia umbea si ungetuma Chadema?
Reality is bila Chadema kuwa na pesa hakuna msaada mkubwa wataweza kutupa…….. Watu wanatupigania ila hata kuwasapoti na kufanikisha kazi zao kwa kutoa pesa tunashindwa??? Hii haki tunayoidai itakuja kimiujiza bila pesa kuwepo za kufanya movement ????
Kama unakubaliana na nilichosema basi, kabla huja Like hii posti, kabla hujareposti, kabla huja comment kabla hujamforwadia mtu hii link tuma pesa kwenye hii number.
vodacom: 0744 446969
Jina: Chadema HQ
Kingine nna swali kwa Chadema hawa wanachama wenu mamilioni, mna namba zao simu? Yani mna database ya wanachama. Je mnatuma messages kwa wanachama kuwakumbusha kuchangia? Mimi personally hapa Marekani huwa nasumbuliwa na message za chama mpaka natuma mwenyewe pesa. Maana message inakuja na link kabisa ya kutuma pesa, tena wanani address kwa jina.
Ndani ya masaa 48 tumefikia 10% ya 340M.
Hiki chama ni dude kubwa sana. Licha ya makelele yote wananchi wameamua kufanikisha hili na hakuna wa kuturudisha nyuma.
Hakikisha unarepost ujumbe huu unafikia maelfu ya Watanzania watimize haki yao ya kikatiba kuchangia MABDILIKO YA KWELI KWENYE TAIFA LETU.
#FreeTunduLissu
#KatibaMpya
REPOST 500
‼️🚨POLISI TANDAHIMBA WAMVUNJA MKONO KIJANA WAMNYIMA PF3‼️
Hiki kisa cha June kijana Ally Rashid Msusa alikamatwa Tandahimba bila kosa na kuwekwa selo na kupigwa hadi mkono wake ulivunjika! Alitoa maelezo kuhusu afande aliyehusika na kumwumiza na baada ya kupewa dhamana akaenda hospitali! Ila sasa inabidi arudi kituo cha polisi Tandahimba kuchukua Pf3 ili aende hospital kuangalia maendeleo ya mkono wake wake.Police wamemnyima PF3.
Hivi kimama anaposema vijana sijui wanalipwa mara wanalishwa sumu kuichukia serikali haelewi ni dhulma kama hizi zinazozaa chuki!
Mpeni kijana Ally haki na toeni PF3 pia mtuhumiwa achunguzwe!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Nimeambiwa kimama kinasema hamwachii Lissu bila masharti maana itatupa ushindi wanaharakati na Chadema! Seriously?
Yaani mngejua alivyo na mambo petty mngeshangaa! Anataka kuleta bifu zile za kitaarab kwenye mambo ya kitaifa!
Utamwachia tu Lissu nakwambia 🤣
Sasa nchi inaingia shimoni kakaza fuvu! Na watanganyika mliokaa naye mnamwangalia tu? Mnamwogopa papai kichinchiri?
Eniwei #TutaelewanaTu
Sisi tutawafinya na kuwabana hadi mtie akili! Hata mtuite majina yote - eti magaidi! 😁 mmedata!
Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu.
MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA.
Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili.
1. KATIBA MPYA.
2. FREE TUNDU LISSU.
Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA.
Voda (MPESA): 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
Repost 500
SADAKA YA TUNDU LISSU.
Jumapili ya leo tunamtolea sadaka Mh. Tundu Lissu akiwa Gerezani ili kuwezesha Chama chake kiweze kufanya Baraza kuu.
TUMA SADAKA YAKO.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
‼️HABARI MBAYA KUTOKA MBEYA‼️
Julai 4, 2026 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya liliwakamata Viongozi wa CHASO watatu wa Mkoa wa Mbeya kila mmoja alikamatiwa Chuoni kwake.
Tangu siku hiyo mpaka leo hakuna mwanafamilia, Viongozi wa Chama wala Mawakili ambao wameruhusiwa kuwaona.
Taarifa ambazo nimezipata muda huu kutoka ndani ni Jeshi la Polisi ni kwamba Vijana hao tangu wakamatwe mpaka Leo wanapigwa na kuteswa sana wakilazimishwa kusema mbele ya Camera kwamba Mhe. @HecheJohn ndo anafadhili Maandamano na kwamba aliwapa pesa wakanunue vilipuzi, mapanga na petrol.
Kati ya hao Vijana watatu, wawili wamevunjwa miguu hawawezi hata kusimama lakini hawapo central wamefungiwa kwenye karakana ya Polisi ambayo huwa wanaitumia kutesea watu huko Mbeya.
Hii picha niliyopost ndo picha ambayo RPC wa Mkoa wa Mbeya, Benjamine Kuzaga anaitumia ku justify Uwongo wao, anasema hiki ndo kilikuwa kikao cha kupanga Maandamano.
Hawa Vijana ni wanafunzi na Jumatatu ya wiki ijayo wanapaswa kuanza mitihani yao ya UE lakin RPC wa Mkoa wa Mbeya Kuzaga amegoma kuwapa dhamana.
Vijana hao ni-;
1. NOAH MWALWANGE (Mkiti CHASO Mkoa)
2. GWAMAKA MBOKA (Katibu CHASO Mkoa
3. Ndg WASINYO M/Kiti Tawi la CUOM.
‼️ALERT‼️
Picha ya kwanza ni mtu ambae anafuatilia msafara wa Mhe. John Heche kila anakoenda
Picha ya pili ni mtu aliyeuwa raia Oktoba 29
Sasa angalia hizi picha kwa makini, angalia mkononi hiyo bangili, angalia aina ya mavazi anayopenda kuvaa, umbo la mwili, rangi ya ngozi.
Je unaona ninachoona?
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…