Mimi ukisikia mkeka wangu wa MAELEKEZO UMETOA jua sportybet SEVER ZIMESHAKE.😂
Hela zetu alizokula kikatili zinarudi na riba YA MOTO SANA.
Sema wanangu wana mbwembwe sana—wanakuambia burna boy anapiga show kwa laki 5 huko😂😂
MITAA IMESHIBA—EID HATULI KANDE.