Tunauza kuku wa kroiler wenye nyama tamu sana, laini na yenye ladha ya kipekee. Supu yake? Ni balaa – tamu hadi tone la mwisho! 😋🍲
Tunapatikana Moshi-Arusha.
*Tunapokea oda kwa rejareja na jumla.
📞 Wasiliana nasi: +255 686 922 778
Sema kudate na vitoto inataka courage ya kitoto mno
Kesho ni birthday yangu kenyewe kamealika marafiki zake eti waje kwangu
Wanilishe keki na kunipaka icing sugar🚮
Huku mimi nawaza bills za mwezi huu🫵😹😹
Huko wilaya ya mwanga !!Kuna jamaa mmoja ameiba mbuzi huko wilaya ya mwanga baada ya kuiba mbuzi hizo ametembea weeeh!! Amefika sehem amekaa ameshindwa kusimama na haskiii njaa
Ila inapofika usiku anaskia anapigwa sana
Na mzee mwenye mbuzi amesafiri
Dear mfalme: Unaweza kuwa mstari wa mbele kusaidia ndugu zako, ila cku ukiyumba kiuchumi Wataungana na majiran kukuchek..cheza vizur Kwenye hiki kipengele👊
Kipindi hicho nipo secondary kuna demu alikua anaitwa Irene alinitesaga sana panya yule sitokaa ni msahau mwanaume atakae muoa yule hana bahati nitamlombea sana.
Ukiwa saza au kapilipili mkoa wa Songwe ukiona Fortuner ya mwaka Wa Mbele sana na plate namba RM KYANDO(jina la mzito nyanda za juu kusini nzima) basi nisimamishe mkali tusalimiane salamu haileti ukoma😅😅
Ila humu ndani aiseeh 🙌 mtu unaweza kuona taarifa zako hazifaamiki na watu hawakujui mara ghafla ukiingia kwenye vita tu wanakutumia picha zako za utoto 😂😂🙌
Humu ndani kummke sana