Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022. @venusnyota
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na makundi mbalimbali ya Wazee Kisiwani Pemba katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chakechake mkoa wa Kusini Pemba tarehe 16 Julai, 2022 @venusnyota
Kheri ya Siku ya kuzaliwa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa maisha marefu na afya njema. Tunakuombea uendelee kutupa hekima, busara na uzoefu katika utumishi wa umma.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akipokea Shada la Maua kutoka kwa Watoto Amani Lujwangana, Abella Lujwangana na Sophia Quito mara baada ya kuwasili Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya kikazi leo tarehe 16 Aprili 2022. @venusnyota
Ralf Rangnick told Man Utd board on Monday he’ll accept this interim job only if future ‘consultancy’ with power on club choices will be included in the deal. Man Utd are prepared to accept this condition. 🔴🇩🇪 #MUFC
Talks now on with Lokomotiv as advanced by @TheAthleticUK.
Nchi tuisimamishe sasa hv au baadae? Dadadeki.. Ok biashara tushamaliza na hapa Hersi @Caamil8 ndio anashughulikia ATC, oooh Tholi ni ITC 😅😅
Jana mliongopewa nn vile?
We Are @yangasc1935 The Home of Champions 👌
Sijui nifanye Press au niseme humu humu, halaf wala haturingi 🤪🤪
BREAKING NEWS: Dangerous #AlShabaab terrorists who escaped from #Kamiti Prison,
Mohammed Ali Abikar, Joseph Juma Odhiambo & Musharaf Abdallah Washiali aka Shukri aka Alex Shikanda arrested in #Kitui while enroute to #Somalia.
Community Policing works.
#ActionCountersTerrorism