@manaal_ms Dah mtu powaaa San choks sitakusahau maishan mwangu tunakuombea siku moja urudi ukaungane na familia yako rafiki yangu mungu awe nawe huko uliko
Wapendwa Haki wote, tunatakiwa kumpigania Mhe. Lissu kwa nguvu zetu zote ili Nduli Idd Amin Mama amuachie maana wote tunajua Mhe. Lissu sio muhaini.
Mhe. Lissu yupo jela hawezi kujipigania lakin sisi ambao tupo uraian, hili ni jukumu na tukiunganisha nguvu zetu kama tulivofanya kwenye #Mo29 lazima watatema ndoano.
#FreeTunduLissu
Siku ya pili oparesheni #freetundulissukatibampya tutafika kila kona ya Nchi..
Endelea kuchangia mabadiliko kupitia 0744446969 Chadema HQ
Asante sana Geita.
@chapanombombwi Kiazi huyu kazi kutaka wapambanaji watekwe ndo apate mpunga wa kumnunulia wife wake chupi kiazi kabxa uvivu tu wa kulima mboga mboga anatumika kaa chupi Sasa kayatimba ndo amepotea hivyo hataaminika tena
Kipaombele kwasasa ni kujenga ofisi ya mkuu wa mkoa (10B).
Hili ni soko la NGUCHIRO ambao kodi wanazokusanya kutoka hapa ndio zinaenda kujenga OFISI ya chalamila.
Ndiomaana wanatuuwa na wanatuita NGUCHIRO na hawajali kitu kuhusu sisi.
Poleni sana Watanzania kwa hiyo ripoti ya kishetani mliyopewa na tume ya kishetani iliyoundwa na shetani mwenyewe
Wale mnaotaka Maridhiano, hivi ndio hawa mashetani waliotoa ripoti hii mnataka kufanya nao Maridhiano????
Ripoti inafanyiwa promotion na serikali na machawa wake mmewahi kuona wapi? Kama sio uhuni na ushetani na kukosa utu?