@AbeljrJacob93@LusekeloWorld Hapa sio shetani kapitia ni tamaa ya mtu binafsi mana bible imesema "mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe" na tamaa ya ngono ni ya asili kila mtu anayo awe wa kike ama wa kiume tusimsingizie shetani
@mshambuliaji Baba mbona hoja yako nyepesi. Yanga anufaike vip na wakati mchezo uliahirishwa? Hukumu itatekelezwaje na mtuhumiwa atapelekwa vip gerezani na wakati hakimu kasema aachiwe huru?
@MartinL01584477 Mungu akubariki kaka. Akuongeze na kukujaza baraka zote za mbinguni na duniani, ulichokifanya sio kidogo ni kikubwa ila huenda ndio wito wako wa kusaidia (karama/kipawa) hivyo usiache na kuishia hapo hapo endelea ndio kitu alichoweka ndani yako
@ji345157451629@realDonaldJNews So you force gay issues in church and school, why don't they go to the place where they can support all the dirt issues. They have huge platforms to support that issues why schools and churches?
@millardayo Viongozi wa dini wawajibu wa kuwafundisha na kuwaonya inapobidi wote wananchi na viongozi mana Mungu haegemei upande m1 bali kwenye misingi ya haki na kweli na kama jina lao la watumishi wa Mungu inabidi wamuwakilishe vyema