@SimbaSCTanzania Every Simba player need to wwork hard. What yanga win agaiinst us is quick decision on the pitch working hard ech single ball....tusicheze na mashabiki tuchezw mpira sehemu ya kutoa pasa toa haraka. All the best
@SimbaSCTanzania Derby tutashinda kama tutabadilika kutumia nafasi, kujituma zaidi kuaccha maakosa ya back pass watu haatri kwa yanga ni huyo nzengeli yupo kila mahali tunatakiwa kujituma haswaaaaaa
@SimbaSCTanzania Ili kumfunga Yanga tuache uchoyo mbele ya lango huyo mpanzu hafai kucheza hiyo derby mchoyo ye anawaza kupiga bila malengo. Hiyo mecchi kante mafaulo yake ayaache. Hii mechi inahtaj kujituma zaidi ya asilimia 100. Nidhamu uharaka kwenye matukio na kuacha kulalamika sana uwaanjani
@SimbaSCTanzania If kapombe and kibabage will play well on wing we can do something. We need to minimize pressure keep the ball make sure we do not give too much space on counter our will depend on kibabage kapombe and our midfield kagoma to handle pressure @KapombeShomari@RushineDeReuck
@SimbaSCTanzania Tumepoteza mwelekeo. Hizo pesa tunazouza wachezji tumekimbilia kumleta chama haana msaada wowote huu ni ufisadi ndani ya SIMBA. TUBADILIKE AISEEE MWAKA HUU TUMETIA AIBU
@SimbaSCTanzania Mpanzu hatoi pass haraka ni tatizo kubwa, hatutengenezi nafasi kabisa, timu inalinda vzr kule mbele kwa nn alitolewaa morice akaingia chama. Chama kazeeka jamani tunadanganyana tu hiyo hela tungeitunza tutafute mtu haswa, msimu huu tumetia aibu kabiaa @moodewji@SimbafansHQ
@SimbaSCTanzania TUKUBALI TU KWAMBA msimu huu timu imeharibika sbb kuondoka fadlu pili tunaondoa wachezaji mno, makocha kila kukicha wanabadilika. Leo timu imejitahd lakini haichez kutafuta matokeo. Tujisahihishe migogoro ya ndani killed, chama aamekuja kisiasa hatu offer chochote @moodewji
@SimbaSCTanzania Kapombe alihtaj kupumzika guys. Mechi vs Azam alikuwa uchochoro sana anahtaj muda wa kupumzika. Siku hz kapombe hapandishi timu, pili kaponbe harudi haraka kucover eneo lake. But all the best
@SimbaSCTanzania Hii simba bila kuwa na msshikamano. Timu kila mtu msemaji mo aanaongea mangungu anaongea magori anaongea kocha anaongea hiyo ni timu au...inatakiwa tuwe na mtu mmoja akisema amesema hata wachezaj watakuwa serious. Me naapumzika na simba aise labda msimu ujao
@SimbaSCTanzania Bila viongozi ndani ya SIMBA kukubali mabadiliko na kuachaa tamaa mfano sasa hv kun watu hawamataki MANGUNGU MAGORI NA CEO je tutafika. MATOLA ANAIGAWA TIMU MAKUNDI MAKUNDI NI UJINGA WA HALI YA JUU SANA @moodewji