@1960Remija Mngempeleka mzee wa Jambia mahakamani tungewaelewa ila kwakuwa alituhumu mnanunua na hamjafanya lolote zaidi ya vitisho basi tunasimama na Mzee wa Jambia kuwa mnanunua😃😃
@MarekaMalili Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu. (Yoel 2:25)
@TheRealEkiswaga@TunduALissu You were popular than Dr. Ndugange in 2020 political waves changed in 2025 Dr. Ndugange became popular than you. This is how politics fluctuate brother
@MarekaMalili Wengi wanajua Afrika ni pori kumbe kuna watu wana maisha mazuri kuliko wao. Mzungu anakushangaa ukimwambia kuwa una miliki nyumba na mashamba. Kwao ni kitu kigeni sana kwanza uwe na hela sana.
@zittokabwe Nafikiri tusiige sana wenzetu wanafanya nini na kipi! Tuitangaze miji yetu na tujivunie. Unapokea barua ya mwaliko (mgeni) kwenda Dodoma unaingia online unafanya booking ya ndege unakutana na jina la mtu unaanza jiuliza mara mbili mbili ni huku?
@zittokabwe Dodoma ndio reference ya TZ kwasasa, Wa Dar awali uliitwa DIA nadhani kumpa Nyerere ni sahihi sana na Mwl anastahili. Haya majina ya Wanasiasa yasiwe mengi katika hizi critical installations za Taifa yanachosha halafu mbaya ukute Mwasiasa mwenyewe alikuwa na visa na visanga