@mshambuliaji Hapo mtu mnae mwelewesha sio kwamba hajui watanzania wanacho pinga ila amejizima data anatetea tumbo lake shida uzalendo hatuna tunaendekeza njaa za mda hatufikirii kizazi chetu kijacho 🙆♂️
@MariaSTsehai Tanzania inawezekana kama unga ukifika kilo 6000 mchele kilo 8000 nje ya hapa ni ndoto watu wanakula wanashiba wanapata na nguvu wa kufanya mapenzi watawaza nini zaidi ya mapenz na mpira na kuwazingatia shirawadu