@Sativa255 Serikali yetu ingejitambua isingeruhusu haya makanisa ya kiholela, yanazidi kuwatia umasikini wananchi, watu wana maisha magumu wakipata hela kidogo wanawakimbizia hawa matapeli wa madhabahu..
@SuphianJuma Kama watu huwa wananajuta kuzaliwa kwa kuondolewa uhai basi na wewe jiandae pia kujuta kuzaliwa maana hutaishi milele. Swala la muda tu.. takataka