PASAKA IPO JUU, ITABAKI KUWA JUU MILELE!
.
RT post hii mara nyingi uwezavyo Kwa kutumia #Pasakaipojuu kupata nafasi ya kujishindia simu mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni pamoja na Movie Tickets (Avengers) na nyingene nyingi msimu huu wa Pasaka!
Unasubiri nini?
Hongera sana @bob_mchelsea kwa kuwa wa kwanza kufikisha 1000 RTs๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Kama tulivyosema kuwa simu moja itatoka kwa mshindi; ungependelea tukupe Spark 5 au Camon 15?
Pongezi kwa mshindi wa shindano la RTs, umejishindia Camon 15 kama ulivyochagua๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Tafadhali tutumie mawasiliano yako.
#TECNOVimbaSeason#SkumaNdinga
Moja kati ya zawadi zitolewazo ndani ya promoshen ya #TECNOVimbaSeason papohapo ni gift box yenye zawadi mbalimbali.
.
Tembelea maduka yetu ya Smarthub kupata updates zaidi.
Tunawatakia jumatatu njema na wiki yenye mafanikio.
#SkumaNdinga
Wadau wetu wa TW tumewasikiliza; Simu moja kutoka kwa atakayefikisha 1000 RTs.
Unachotakiwa kufanya ni:
1. Like na RT video hii.
2. Weka #TECNOVimbaSeason#SkumaNdinga
3. Fikisha 1000 RTs ubaoni kwako.
Twende kazi!
Vile utakavyokua unaongea na simu kwa kuvimba baada ya kuibuka mshindi wa ndinga kali msimu huu wa #TECNOVimbaSeason
Promotion bado inaendelea. Fika katika maduka yetu ya Smarthub sasa uweze pia kushinda zawadi nyingine papohapo.
#SkumaNdinga
Pamoja na kuweza kushinda Gari, king'amuzi cha Dstv, HiPods, safari ya bure kutoka little ride, na zawadi nyingine nyingi ufikapo madukani msimu huu wa #TECNOVimbaSeason ; tunataka pia tuwape zawadi wadau wetu wa online. Mngependelea zawadi gani?
#SkumaNdinga