@DanielW89884566@IAMartin_ nadhani ungeandika hoja yako bila kuleta stori za Mataga ingependeza zaidi.kuleta stori za mataga unadhihirisha kuwa una superiority complex ya kijinga
Ndugu Zangu wa Jangwani, Si Kwa ubaya ila Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' Hana Maisha marefu sana ndani ya viunga vya Jangwani kama sio Msimbazi basi Nje, Wanaomsimamia wanamchelewesha sana.
@Mama_Ghati@IAMartin_ shida yako much know sana unaongea vitu ambavyo hata kuvijengea hoja hujui ,kazi yako ni kejeli ukidhani huko ndiyo kujua kwenyewe
@ymcthetycoon@allenieno@IAMartin_ uhuru, haki ni kipaombele cha kila mpenda mabadiliko. ila Taifa stars ndiyo team yetu sisi Watanzania labda kama wewe ni raia wa kigeni
@IAMartin_ Team ya taifa siyo ya CCM hata baadhi ya wajinga wa ccm wakisema hivyo.kama kuna namna serikali inai fund team ya taifa hizo ni kodi za Watanzania wote kwahyo hii ni timu yetu sote. halafu mimi sio CCM👐