Sheria Kila Mwanaume Anapaswa Kuzifuata
1. Daima mpe Mungu nafasi ya kwanza
2. Dumisha usafi bora, Tunza meno yako, ngozi, nywele, na mwili wako.
3. Wekeza kwenye afya yako; Kula chakula chenye lishe, fanya mazoezi mara kwa mara, na dhibiti msongo wa mawazo.
4. Vaa vizuri; Daima onekana nadhifu, bila kujali mazingira.
5. Nukia vizuri; Tumia manukato mazuri, hata kama huna harufu mbaya.
6.Jiamini, jithamini na ujiheshimu
7. Kuwa na mtazamo chanya; Epuka mawazo hasi maana yanawafanya watu wengine wakuepuke.
8. Waheshimu na uwatendee wenzako kwa heshima.
9. Jizungushe na watu ambao wanapenda kukuona ukikua
Ongeza nyingine