Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana
Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie nyumba karibu na kazini ili awe anapata muda wakupumzika mapema nakufanya kazi zaidi maana ilikuwa inamlazimu aamke saa kumi usiku kuwahi kazini
Kwahiyo nyumbani atakuwa haji Kila jioni Tena kama ilivyokuwa awali! Atakuwa anakuja mara moja kwa wiki jumapili kwaajili ya kuniona na ibada. Nimekubali ombi la boss wake jamaa alivyomkalimu kanipa na laki moja
Radio Garden�
Kusikiliza redio za moja kwa moja kutoka karibu kila kona ya dunia.
MarineTraffic�
Kufuatilia meli zinazosafiri duniani kwa wakati halisi.
FlightRadar24�
Kuona ndege zinazoruka duniani kwa wakati halisi.
Hizi ni baadhi ya website ambazo watu wengi hawazijui sana lakini zina umuhimu mkubwa:
Internet Archive �
Hifadhi kubwa ya vitabu, filamu, muziki, na tovuti za zamani. Ni kama maktaba ya historia ya mtandao.
Uzi 👇👇👇
Elon Musk amebadili kitufe cha like ili kusherekea siku ya mama duniani. Bonyeza kitufe cha like kwenye tweet hii uone maua na maneno ya Happy mother's day yatakavyotokea.
Ukipata Muda Jifunze Mambo Haya (10) Ambayo Hayasemwi Mara Kwa Mara.
Lakini Yanabeba Heshima Yako Kama Mwanaume.
1. Usimfanyie rafiki yako utani mbaya mbele ya mke na watoto wake.
- Watoto hawajui utani. Watachukua maneno yako kama ukweli juu ya baba yao.
Thread🧵
Mtoto huyu wa Cameroon alisubiri Papa amalize misa akajipenyeza katikati ya kundi kubwa la watu akamkimbilia Papa, walinzi wakamuacha akaenda mpaka kwa Papa. Naye Papa alipomuona akachuchumaa akamkumbatia akapiga naye picha halafu akampa rozali. Unyenyekevu ni tunu ya msingi sana
Marekani ilianzisha mfumo mpya 2025. Wanaume wa miaka 18–26 wanasajiliwa kwenye mfumo wa Jeshi. Dharura ikitokea, bahati nasibu inachezeshwa, ukichaguliwa unapimwa na unaingia Jeshini. Adhabu ya kutosajiliwa kwenye mfumo huu ni kifungo hadi miaka 5 jela au faini ya Tsh bilioni 1.
Ukiona unaweza kulipa kodi na ukawa na Godoro lako hata 4*6, Mtungi wako wa Gesi, Na ukajaza mchele ndani..Kiufupi una uwezo wa kula na kutuma japo 10k kwa wazee kwenye kibarua chako!
Bro, Piga goti na umwambie Mungu Ahsante na mtolee sadaka🙏
KUMEKUCHA.
Mtu yupo Tandahimba anabonyeza kioo kilichopo mkononi mwake anaongea na mtu wa New York, anaona watu wanapandikiza viungo na wanaishi, watu wanatumia maji kuzalisha umeme unaowasha mitambo na kuendesha magari, halafu bado anabisha kusikia watu wanauzunguka Mwezi. Hii nchi daah 🙌