@Geoffrey87Lea Acha team za EPL zibebe hivi vikombe for 5-10 yrs mfululizo tuone kelele zake hii inaweza saidia LaLiga wabadili distribution ya TV Rights na Bundesliga wabadili ownership model ya 51+% fan ownership
@KipetaBin Huo mfupa ni mgumu kwa Azam Multichoice alilipa $450Mil kwa ajili na EPL na β¬100Mil kwa ajili ya UCL huo mzigo hapo ni karibia 1.5+Tril Tzs kwa aina ya wateja Azam alio nao hawataweza kulipa bei ya kifurushi itakayomuwezesha kupata faida baada ya kulipia hizo haki za matangazo
@George_Ambangil Chelsea hatuhitaji kushiriki michuano midogo ya ulaya isipokuwa ni UCL bora tumetolewa wachezaji wapumzike vyema msimu ujao tutakuwa na mechi chache na kupumzika vizuri kama ManUtd mlivyofanya na Carrick msimu huu
@thisispinguini Trading is a very personal game utahitaji mda mwingi wa kujifunza jinsi ulivyo na kupambana na ur own demons until then utajikuta tu ushakuwa isolated na watu
@ChachaWegelo Physics is another beast altogether infact nikimuona mtu kapata A ya Physics Advance namnyoshea mikono maana licha tu ya juhudi za kujisomea Physics inataka pia uwe gifted kuifaulu vizuri
@The_PR0F3S0R 2 Step imekaa poa zaidi inaruhusu drawdown ya 5% daily na 10% overall risk management inakuwa poa zaidi unatrade kwa kurelax ila tu inachukua muda kufuzu
@Positivenga1 This guy hajui anachokifanya kwenye trading ukitazama hapo risk management ni zero, hajui kufikiria in probabilities na psychology ameiweka under pressure kwa kutrade pesa za watu