Joho: Sisi tunafanya tu kuwasaidia wananchi. Na si kwa nia ya kisiasa. This is my last term. Na kwa wale wanaogawanya chakula hawalipwi. Watu wanalala saa tisa.
@JoshuaChome@HassanAliJoho@Makku_key#JohoOnPwaniFM
Waziri wa afya Mutahi Kagwe amedhibitisha kuwepo watu 8 zaidi ambao wameambukizwa virusi vya korona humu nchini kwa muda wa saa 24 zilizopita huku idadi kamili ikifikia watu 363.
#kurunziyapwani@pwanifm@JoshuaChome
Watu 14 ambao walitangamana na aliyekuwa mfanyikazi wa halmashauri ya bandari nchini marehemu James Oyugi wamepimwa na kupatikana bila virusi vya Corona @JoshuaChome@pwanifm
Zaidi ya magari mapya elfu 1 yamekwama mjini Mombasa baada ya mamlaka ya kitaifa kuhusu usalama wa barabarani NTSA kutupilia mbali usajili wa huduma kutokana na janga la korona
#kurunziyapwani@JoshuaChome
I pray restoration to everything the enemy has stolen from you! God will put you on the heart of someone in position to favor you and bring His will to pass in your life!