"Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma, gari bovu linaangushiwa awamu ya 6 sitakubali"
Rais Samia Suluhu Bandarini Leo
@MimiMzaramo @mzeewakaliua Mbongo kwa kukosoa noma, nimemanisha "intelligence" akili, but ulierewa Ila tu kwa kuwa we mwalim wa kiswahili, omekosoa thenk you you teacher,