@MariaPoet_ Wazo zuri ,mapinduzi ya kimawazo na uongozi ndio yatayeyusha hii dhana ya mkoloni mkenya chambilecho mhusika Amani katika Riwaya ya kidagaa mageuzi yanahitaji uangalifu na hatua ,tuzipinge hatua kwa uangalifu.
@alikauleni @Lhornpublisher @radiomaisha Hassan nafurahia kufuatilia kipindi hai ,mafunzo tele na makuzi mema ya lugha ashirafu .Salamu kwa walimu studioni - Joshua kutoka makueni.