๐ฌ|โขFilm/Music Video Director
๐ธ|โขPhotographer
๐ฅ๏ธ|โขGraphics Designer
๐ค|โขPresenter
๐|โขWinning Drawing Artist in Arusha 2021
๐|โขBachelor Degree of (IT)
Madem wa Bongo hawawezi kukuambia wewe ni Handsome. Utasikia tu "Kwa jinsi ulivyo unaonekana tu huwezi kuwa na Mwanamke mmmoja" ๐๐๐๐๐๐๐
Madem wa Bongo hawawezi kukuambia wewe ni Handsome. Utasikia tu "Kwa jinsi ulivyo unaonekana tu huwezi kuwa na Mwanamke mmmoja" ๐๐๐๐๐๐๐
Unaitunza Nyeti Yako vizurii tu bila kuitumia tumia Hovyo Kwa ajili ya future wife Wako Af wahuni wanapita nayo .... Na hujawahi ata onja Ile kitu ๐๐๐๐๐๐๐
Unamtumia Nauli aje, ukahisi atakula hiyo nauli.
Ukaamua kumtumia na Hela ya kula Ili asile nauli aje.
AKAAMUA KULA ZOTE! .... Ila wanawake ๐๐๐๐พ๐๐พ
Anyways Happy Valentines in Advance.